Binti fahamu hili!

Binti fahamu hili!

It's damn true...

Wanaume huanza kwa kutamani, then mengine hufuata...

Ila at some point kuna baadhi yetu imeshawahi tokea ukampenda mwanamke kwa kumuona tu mara ya kwanza...
 
It's damn true...

Wanaume huanza kwa kutamani, then mengine hufuata...

Ila at some point kuna baadhi yetu imeshawahi tokea ukampenda mwanamke kwa kumuona tu mara ya kwanza...
Bora mkuu umeona mantiki
 
Siku hizi wanajifanya jeuri eti ndoa kitu gani?
😂😂😂Huwa nacheka sana wakati mioyoni mwao ukweli wanaujua.
 
Kwa nini wanaosumbuka na kutoa ushauri kuhusu ndoa ni Wanaume? Ulivyoelezea ni kama vile Wanawake wanaihitaji ndoa zaidi kuliko Wanaume wanavyoihitaji, unajidanganya, kama ingekuwa hivyo ni kweli Wanaume kama wewe wasingejazana hapa JF kila siku kujifanya kuwaonya Wanawake, kwa nini uwaonye kama kwako ni rahisi kupata mwanamke wa kuoa? Kwa nini ikusumbue jinsi mwanamke alivyoamua kuishi maisha yake? Kwa nini Wanawake wenyewe hawalalamiki kwamba wanakosa waume wa kuwaoa ila Wanaume ndo wanaongoza kulalamika kama unafikiri ni rahisi kwa Mwanaume kupata mwenza?
Mkuu unaishi dunia ipi ambayo haina malalamiko ya kuwa siku hizi hakuna wanaume waoaji.

Au mwenzetu upo Mars ..

Wanaume wakipata title ya kuitwa baba tu inapendeza zaidi ila mwanamke akiitwa single mama value imepungua ndio maana mtoa mada ameshauri ngono isiwe kipimo cha upendo.
 
Natumia JF kama kielelezo changu, na hapa JF wanaoongoza kuleta habari za kulalamika kuhusu mambo ndoa ni Wanaume, wanaume ndio wanaonekana kusumbuliwa zaidi na jinsi wanawake walivyoamua kuishi maisha yao.
Kama Wanawake wangekuwa na hiyo shida ya kupata mwenza kuliko Wanaume wao ndiyo wangejaza serva hapa JF kulalamika, lkn wanaolalamika ni Wanaume, sasa kwa nini wanaume waongoze kulalamika kama kwao siyo ishu kupata mwenza?
 
[emoji56][emoji56][emoji56] bakiriwa mkuu
Mkuu unaishi dunia ipi ambayo haina malalamiko ya kuwa siku hizi hakuna wanaume waoaji.

Au mwenzetu upo Mars ..

Wanaume wakipata title ya kuitwa baba tu inapendeza zaidi ila mwanamke akiitwa single mama value imepungua ndio maana mtoa mada ameshauri ngono isiwe kipimo cha upendo.
 
Upuuzi huu we bado upo shule unalipiwa.ADA tulia
Natumia JF kama kielelezo changu, na hapa JF wanaoongoza kuleta habari za kulalamika kuhusu mambo ndoa ni Wanaume, wanaume ndio wanaonekana kusumbuliwa zaidi na jinsi wanawake walivyoamua kuishi maisha yao.
Kama Wanawake wangekuwa na hiyo shida ya kupata mwenza kuliko Wanaume wao ndiyo wangejaza serva hapa JF kulalamika, lkn wanaolalamika ni Wanaume, sasa kwa nini wanaume waongoze kulalamika kama kwao siyo ishu kupata mwenza?
 
Acha kuwadanganya wanawake wewe... Ulichokiandika hapo kina ukweli asilimia 30 tu[emoji41]

Unaweza ukampenda mwanamke na ukatamani kumuoa kabla hata hujamtongoza
Hiyo ni moja ya mia lakini alichokieleza msemaji hapo juu ni sahihi kabisa
 
Hakuna mwanaume anaye kutongoza kwa mara ya kwanza lengo likawa ni ndoa!!
98.5% ya wanaume wote wanao kutongoza mara ya kwanza lengo lao huwa ni sex!!! kufikiria kukuoa na kuanza kukupenda kunakujaga baadaye sanaaa..

Unaweza ukaishi na mwanaume miaka miwili akawa bado hajakupemda kabisaa !!! akawa yupo na ww kwa ajili ya sex...tu.

unaaweza ukawa unajiachia kwake ukajua uko pekee yako kumbe muko kama sita!!

Ukijiachia sana kwa mwanaume kisa kakutongoza siku tatu, vitu anavyokuonyesha vya kukupigia simu mwanzoni na vile sijui vi pillow talk, monkey style, Z style , U style ukajiona ndio unapendwa hutaamini muujiza!!
tambua tu inachukua muda mrefu sana mwanaume kuanza kuwa committed na wewe na kukupenda kweli!!

Mwanaume ataanza kufikiria kukuoa akiona una kitu cha pekee hasa kuwa na msimamo wa kujilinda na kutetea Maadili yako.

Kila siku nawaambia Ngono kabla ya Ndoa ni adui wa ndoto zako za kuolewa.
Utavunja kiuno kwa kumpa Ngono na bado utaambulia patupu!!

Nadhani nimesikika au niweke loudspeaker !?View attachment 1224690View attachment 1224691
Mkuu mbona kuna visu, Alshaabab nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom