Binti atoweka kijijini

Binti atoweka kijijini

Ninadj

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
8
Reaction score
9
Binti aliyetoroka kijijini kwao arejea baada ya miaka kumi;

Baba:We mtoto ulipotelea wapi,unajua ulimtesa sana mama yako?

Binti:Nilikuwa nafanya kazi ya umalaya Marekani

Baba:Mshenzi mkubwa we,umetutia aibu wazazi wako,toka na usikanyage tena hapa

Binti:Sawa baba ila kabla sijaondoka,nimewanunulia nyumba ya kisasa mjini,mil 75 ziko bank
na gari nilikuja nalo ni la kwako.

Baba:Hv ulisema ulikuwa unafanya kazi gani tena?

Binti: Umalaya

Baba:aah!mimi nilidhania UYAYA!Karibu ndani mwanangu
Chezea pesa wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom