Binti asusa kula

Mpeleke chakula akipendacho atakula tu,
 
Hapana mkuu Matola ni binti wa mtaani kwetu. Kutumia internet anajua. Ingekuwa mimi nahitaji msaada ningeomba direct hapa jukwaani. Na kama kupima ningeenda kupima. Siogopi majibu wala. Najua kuna majibu ya aina 2.

apo bold ni 3, +ve, -ve na undetected
 
Sasa hapa wataka ushauri gani...?
 
mwambie akapime tu ..... njaa mbaya..... itafikia muda atataka kula tu... njaaa haina mbabe.... so hata haina haja ya kumshaur zaid ya kupima....
 
Si uncle tu hata wazazi wengine wako hivyo.

Sheria ya HIV& VVU inakataza mtu kufanyiwa vipimo bila ridhaa yake, so wamshauri ila wasimlazimishe km hataki wamuache. Mwambie nimesma ale nitakuja kumwona akiuliza nani KATASAN'KAZA
 
Last edited by a moderator:
ujaman hivi haya mambo ya kunyosheana vidole yataisha lini???mpe pole mwambie ale hao ndo binadam atakufa njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…