Mwambie atakama haendi kupima, bhas ale chakula ashibe maana akiacha kula, atakonda af ndo hali Itakua mbaya zaidi...
Njaa ikimuuma atakula tu....
Ila huyo uncle nae mpana...anadhani kupima ukimwi ni rahisi eeeeh hajui wanakimbiaga majibu
kupiiima! unaweza kukimbia majibu yako ila mpe pole na mwambie ale coz kutokula co solution
Nimemshauri hivyo lakini hajanielewa. Nimemtumia rafiki yake wa karibu naye hakufanikiwa. Analia tu
mpe pole sana, nendeni nae taratibu tu ataelewa
Apo itakua vizur mkuuSawa kwa sasa nashindwa kumshauri akapime. Majibu yakitoka mabaya anaweza akafanya uamuzi mbaya. Ngoja nijitahidi kwa suala la kula.
Sawa kwa sasa nashindwa kumshauri akapime. Majibu yakitoka mabaya anaweza akafanya uamuzi mbaya. Ngoja nijitahidi kwa suala la kula.
Kuna binti hapa mtaani kwetu mwenye umri wa miaka 21. Amesusa kula tangu juzi kisa uncle wake amemwambia akapime damu(HIV test) kama yupo safe kwa sababu anaugua malaria mara kwa mara. Kwa madai ya huyu binti ni kwamba aliuugua malaria miezi 2 iliyopita.Na mwezi huu ameugua tena. Na mwenendo wake si mbaya sana hapa mtaani. Binti analalamika kwamba uncle wake hamuamini ndo maana amemwambia akapime. Naombeni ushauri wenu wakumpatia huyu binti.
Hivi mbona mnapenda kuwasingizia marafiki? huyo rafiki yeye ndio hajui kutumia internet siyo?
Wewe kapime usisingizie nothing girl.
Hivi mbona mnapenda kuwasingizia marafiki? huyo rafiki yeye ndio hajui kutumia internet siyo?