Duh sasa nawewe mwanakijiji ndio kichwa gani cha habari hicho? mimi nimefikiria nature imebadilika na sasa wasichana wanapachikana Mimba. Waandishi wetu ni wafani sana nakumbuka waliwahi kuandika kuwa POLISI MBEA WAFUNGUA TOVUTI YA KURIPOTI UHALIFU, kusoma ndani kumbe ni polisi wafungua e mail address ya
polisimbeya@yahoo.com.
Jana nimesoma habari kuwa zaidi ya 60% ya majeruhi wanaolazwa MOI ni wakazi wa Dar. Sasa nikajiuliza hivi kweli kwani watu wa Mwanza, Kigoma, Mbeya, etc wanategemewa kulazwa MOI?