Binti anapouona utupu wa baba yake . . . . !!

Daaaa... Off topic kdogo.. Kikulacho ki nguoni mwako lol.. Shoga anajilia taraaaaaatibuuuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ana miaka 24!
Du Bint ana miaka 24 huyo anajua kila kitu, ayaseme tu kwa watu na ni kwanini anaishi hapo nyumbani wakati ana watoto karibia ya wawili? ni miaka 10 iliyopita alishavunja sinia
Ni wanaume wangapi wana miDushelelee kuliko hako alikokaona, yeye asimwambie Mama yake lakini watumwe watu wamweleze huyo rafiki wa mama yake naye atampenyezea Baba yake kuwa tumeshafumaniwa na mwanao kwa chabo
 
Ana miaka 24!

kwa umri huu hana shida sana, huyu ni mtu mzima atulizane atasahau. achukue kama bahati mbaya tu halafu huyo mother mwingine amkate jicho tu ila asimwambie kitu. yenyewe itajieleza.
 
Back
Top Bottom