Binti anapouona utupu wa baba yake . . . . !!

hahaha, aminia. Mbona utaanza kumblackmail mdingi. Ukisema kitu tu anajump. Aisee, watu wabaya. Nilivyo na wivu na babangu, ntakufa!

Ila kukurupuka na kumwambia maza noma bana!
 
Awaite wazazi wake pamoja na rafiki wa mama yake na AFUNGUKE LIVe mana akikaa kimya kama ni UKIMWI wataupata wazazie na yeye ndo atabaki YATIMA
 
Awaite wazazi wake pamoja na rafiki wa mama yake na AFUNGUKE LIVe mana akikaa kimya kama ni UKIMWI wataupata wazazie na yeye ndo atabaki YATIMA

Kama wana miaka miwili wakiwa kwenye uhusano?
 
oooh my GOD,huyo mdingi ingekuwa ni mm ningempa vidonge vyake asije akaniuliwa mama yangu huyo mamdogo ningemtafutia wanawake wenye adabu zao wakamfunde afundike,mama nisengemwambia ila ningemwambia achunge mashonga zake sio wazuri kwake ni hayo tu.
 
 
Mwambie siku ingine awe anapiga hodi sio kuchungulia dirishani?
 
Hamna laana yeyote kuona uchi unaoonwa na watu kibao. Huyo baba ni mtupu wa nafsi hata akiwa nyumbani na ndio maana ana uthubutu wa kumlala rafiki wa mkewe
 
:becky:Hahahaa kaona dubwana teh teh teh mchapio huo:becky:

This is too "MANY" and not too "MUCH"
 
laana kwa kitu ambacho hakijakusudiwa?????hamnaga ktu kama hiko...binti hana kosa, sanasana amrekebishe huyo bi mkubwa jirani asijetenganisha familia yao bureee...
 
hakuna laana maana hakudhamilia pili baba yake naye hana heshima, haheshimu ndoa yake
 
Hawezi pata laana hapo! Labda kama ni laana zinazo tengenezwa na binadamu, kwani kitendo alicho kifanya baba yake akikubali hata kwa mwenyezi Mungu!

Na hili swala inabidi aliache kama lilivyo wala asimwambie mama yake maana anaweza kusambaratisha ndoa hiyo!
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Yekeduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu gwaiwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mama Ikeneke chinekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Yaani ndoa ni balaa, mashostito ni hatari!!! Aibu gani hii??? Tunaaga tunaenda kazini au kusafiri kumbe uko mtaa wa pili unagegeda!!! Yasije kukupata ya yule Askari Roda amehukumiwa kunyongwa kufa aliaga anasafiri kikazi Moro kumbe anakula bata na askri mwenzie ambaye ni mdogo kwake kwa 5 years!!! Juzi katika hukumu she was 42 while jamaa 37!!! Mke wa jamaa na mume wa Roda wafanye kweli kabisa, waungane kuutulizana maumivu. Kudadeki!!
 
BT pengine ungefanya hivi kwa nia nzuri lakini ungeweza kuibua mengi sana! Maana ukimwabia maza ndio litakuwa tatizo zaidi, na ikumbukwe chamtu ni chamtu!

Labda kama huo mkwara ungemchimba mdingi na rafiki yake maza inaweza saidia kidogo.

Na hapo mdingi lazima awe rafiki yako sana hadi maza ata shangaa!
 
Ila mdingi atakuwa hana Amani kabisa akiona unaongea na Maza lazima roho iende mbio

hahaha, aminia. Mbona utaanza kumblackmail mdingi. Ukisema kitu tu anajump. Aisee, watu wabaya. Nilivyo na wivu na babangu, ntakufa!
 
Wakwanza kumwönya ni rafiki wa mama ambaye ndio hawala wa baba, nitamwambia ukweli kuwa siku fulani nilikuona na baba nyumbani kwako tena mkiwa mazingira tatanishi. Baada ya hapo lazima huyo mwanamke ataenda kumsimulia baba kwamba niliwai kuwafumania..baba akijifanya kuniuliza tu kosa nitampa mkanda mzima na kumuonya kuwa akiendelea na fisadi wa mapenzi nitamwambia mama.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…