Binti ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika

Binti ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika

Ngono zembe zitatuua hakika safari hii,ukiachana na ukimwi magonjwa mengi sana ya ngono ya kutisha,,io shida nmenusurika karibuni tu,sema mm niliwahi,nyama ya uchi ya ndani inakua ngumu inachomoza nje,na hayo yanayoota wanaita masundosundo sjui aaah,,na hauna dawa rasmi hospital naskia pia,,niljitibia kienyeji nyumbani tu,kam nayeye ni ivo imefika stage kubwaaa....
Inaogopesha sana aisee
 
Inasikitisha sana kusikia kuhusu ha Kutokana na maelezo uliyoyatoa, dalili hizo zinashabihiana na baadhi ya magonjwa ya zinaa (STD), ingawa inaweza kuwa kitu kingine pia.
Hali hiyo ya kuwa na malengelenge au vipele vikubwa, na ile hali ya nyama ya ndani ya uke kuchomoza, na maumivu makali kama ya kuungua moto, pamoja na kutoka majimaji, ni dalili zinazoweza kuhusishwa na:
* Kaswende (Syphilis): Ingawa dalili za awali za kaswende ni vidonda vidogo visivyo na maumivu, katika hatua za baadaye, inaweza kusababisha vidonda vikubwa na vya kutisha.
* Malengelenge ya sehemu za siri (Genital Herpes): Hii husababisha vipele au malengelenge yanayojaa maji ambayo hupasuka na kuacha vidonda vyenye maumivu makali, na mara nyingi husababisha hisia ya kuungua au kuwasha.
* Chancroid: Huu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria ambao husababisha vidonda vikubwa, vyenye maumivu kwenye sehemu za siri.
Ushauri wa Kitaalamu
Kwa kuwa kituo cha afya na zahanati wameshindwa kutambua ugonjwa, ni muhimu sana kumpeleka binti huyo hospitali kubwa ya rufaa au kwa daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi (Dermatologist) au magonjwa ya wanawake (Gynecologist) haraka iwezekanavyo. Katika hospitali hizo, wanaweza kufanya vipimo maalum vya maabara kama vile vipimo vya damu na kuchunguza majimaji kutoka kwenye vidonda ili kubaini chanzo cha tatizo.
Kujua jina halisi la ugonjwa ni hatua ya kwanza muhimu sana. Baada ya kujua ni ugonjwa gani, ndipo matibabu sahihi yataweza kutolewa, ambayo yataondoa maumivu na hatimaye kumponya kabisa.
Usipoteze muda, tafadhali msaidie apate rufaa au umpeleke hospitali kubwa ambapo atapata utambuzi sahihi na matibabu stahiki.
Betason ameongea ki undani zaidi na kitaalam sana.
Afanye kipimo kinaitwa VDRL-Venereal Disease Research Laboratory-Hii kinachopimwa ni damu majibu ndani ya dk45 hii inapimwa kaswende.
Apime Mkojo hapa ni kuangalia Ugonjwa wa zinaa mfano Gonorhoea,Trichomonas Vaginalis na magonjwa mengine andamizi ya STD
Wachukue umaji maji wa uke wafanya culture
Ningesema wapime typhoid vidudu vinaitwa Triponema Palidum lakini kwa dalili hizi hapana.
Baada ya vyote hivyo ndio tutapata majibu.
Daktari wa magonjwa ya ngozi dematologist naye ahusishwe.
Akipona vyote hivyo na bado ana mawenge mengine itakuwa ni Hysteria asuburi kwanza akue aolewe.

Maombi sikatai ila tiba maombi yanakwenda pamoja
Neno zahanati futeni mawazoni mwenu fanyeni jitihada hiyo zahanati iwapeleke hospitali kubwa ya mkoa kwa rufaa.
Wengine sisi by experience tumepitia mambo yanafanana na haya miaka ya 1982 tukapeta tu kwa kufanyiwa culture na vidonge vya sulphurdimidine tu na antibiotic zingine kama penibritin

Watu wangu wanaangamia kwa kukoa maarifa---------nukuu ya biblia
 
Aaaah nshapoaa,nilkunywa kila aina ya dawa za UTI sjui herbal hiz waaapiiii,,tuwe makini
Pole mtu wangu, kama nakuona ulivyokuwa na hasira wakati huo ni mgonjwa na tiba rasmi hamna unaweza kuua mtu,

Kuna jirani yangu alipata hilo zaga la kuvuja maji yananuka, kendal kupima kakutwa na syphilis sijui ndo kisonono hebu nimpigie kwanza nijue hali yake, na hapo mumewe ana wake 3 bado michepuko ya..... ni cheni,

Kuepuka haya ni kuishi maisha bila ngono.......je inawezekana?????? Kiufupi mi siwezi
 
Betason ameongea ki undani zaidi na kitaalam sana.
Afanya kipimo kinaitwa VDRL-Venereal Disease Research Laboratory-Hii kinachopimwa ni damu majibu ndani ya dk45 hii inapimwa kaswende.
Apime Mkojo hapa ni kuangalia Ugonjwa wa zinaa mfano Gonorhoea,Trichomonas Vaginalis na magonjwa mengine andamizi ya STD
Wachukue umaji maji wa uke wafanya culture
Ningesema wapim typhoid vidudu vinaitwa Triponema Palidum lakini kwa dalili hizi hapana.
Baada ya vyote hivyo ndio tutapata majibu.
Daktari wa magonjwa ya ngozi dematologist naye ahusishwe.
Akipona vyote hivyo na bado ana mawenge mengine itakuwa ni Hysteria asuburi kwanza akue aolewe.

Maombi sikatai ila tiba maombi yanakwenda pamoja
Neno zahanati futeni mawazoni mwenu fanyeni jitihada hiyo zahanati iwapeleke hospitali kubwa ya mkoo kwa rufaa.
Wengine sisi by experience tumepitia mambo yanafanana na haya miaka ya 1982 tukapeta tu kwa kufanyiwa culture na vidonge vya sulphurdimidine tu na antibiotic zingene kama penibritin

Watu wangu wanaangamia kwa kukoa maarifa---------nukuu ya biblia
🙏
 
Pole mtu wangu, kama nakuona ulivyokuwa na hasira wakati huo ni mgonjwa na tiba rasmi hamna unaweza kuua mtu,

Kuna jirani yangu alipata hilo zaga la kuvuja maji yananuka, kendal kupima kakutwa na syphilis sijui ndo kisonono hebu nimpigie kwanza nijue hali yake, na hapo mumewe ana wake 3 bado michepuko ya..... ni cheni,

Kuepuka haya ni kuishi maisha bila ngono.......je inawezekana?????? Kiufupi mi siwezi
mi mwenyewe siwezi ishi bila rrraaaahhhaaa,,ila saiv nmekituliza kwanza aseee,,sio mchezoooo staki hata kukumbuka
 
Ongeeni nae vizuri asimulie historia yake ya aliopita nao.
Mpelekeni kwenye hospital bila kujali ni kubwa au ndogo iwe tuu yenye madaktari makini.
Ikishindikana kote, mje tufanye maombi maana mbele za Mungu hakuna kinachoshindikana
 
Ngono zembe zitatuua hakika safari hii,ukiachana na ukimwi magonjwa mengi sana ya ngono ya kutisha,,io shida nmenusurika karibuni tu,sema mm niliwahi,nyama ya uchi ya ndani inakua ngumu inachomoza nje,na hayo yanayoota wanaita masundosundo sjui aaah,,na hauna dawa rasmi hospital naskia pia,,niljitibia kienyeji nyumbani tu,kam nayeye ni ivo imefika stage kubwaaa....
Inatokaje unapicha please?
 
Ugonjwa kama huo siyo wa kumpelekea zahanati. Nawashauri mumpeleke hospitali kubwa zenye wataalamu wabobezi na vifaa vya kutosha. Msizubae zubae hapo kijijini huku Binti anateseka
 
Back
Top Bottom