Habari, Kuna mtaalamu kaniomba nitoe ushauri kuhusiana na hili swala, " ampeleke mtoto huyo hospital achunguzwe bakteria wa mafua watakuwa wameingia kwenye cell nyeupe za damu, hilo limekuwa tatizo kubwa la watoto wengi wa umri huo na mara nyingi hospital huwa zinashindwa kulitambua hiyo Hali kwenye sehemu za siri ni hao wadudu wanashambulia,
Kama atakuta ni hao bakteria utamwambia anicheck nimwandikie dawa maana wengi huwa wanapewa dawa ambayo haimalizi tatizo hilo"
Mimi niongezee kwa kusema kwa yote hayo uliyoshauriwa, yatekeleze kwa kwenda hospitali kubwa yenye uhakika wa vipimo vyote na upime hili pia. Pole kwa changamoto