Binti aliyeitoa jasho familia kwa visa

Mtambuzi wewe ni moja ya wasimuliaji wazuri sana hapa jf, na nnavopenda stori...nadhani ntazicompile zote kwenye pdf nizirudishe tena humu humu jf
 
Last edited by a moderator:
mbona hii stori inafanana na movie iliyotoka kitambo inayojulikana kama "damien omen" au jina lifananalo na hilo? mi hilo movie nililiona longi sana.
 
@Amstedarm mbona haya ni madogo! nenda jukwaa la biashara na uchumi utafute post moja ya mtu anaitwa majimoto, post inaitwa "biashara ya uchawi Tanzania" ukiweza anza mwanzo kusoma ina kama page 30's hv ina visa vya kutisha we acha tu!
 
I dearly like Mtambuzi's stories they surely teach kwenye hii hapa nimejifunza yafuatayo
  • Kuwa mvumilivu-hata hao wanandoa wangekuwa wavumilivu wasingepata usumbufu kutoka kwa huyo mtoto
  • Kupenda mtu- kwa miaka ya sasa kama binti hazai anachika faster ila inaonesha jamaa alimpenda sana ndio maaana akawa nae hadi alipo pata mtoto wa haki
 
Napenda sana haya masimulizi yako,yananikumbusha gazeti la jitambue na mshauri wako.

Kazi nzuri, keep it up mkuu.
 
Nadhani hili ni somo zuri sana kwa wale wanaodhani maisha mazuri huja kwa kutimiza matakwa ya watu. Huwezi jua hayo unayoyaita maisha ya masonononeko ndio maisha ya raha, masononeko utayatafuta mwenyewe!
 
Mkuu Mtambuzi umenipa kibarua kugumu sana.

Inabidi nianze kusoma threads zote ulizowahi post jf.

Barikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom