wiseboy. JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 2,931 Reaction score 4,550 Feb 7, 2015 #1 Binti Mmoja Mwenye Umri Usiopungua Miaka 20,amekutwa Amekufa Ktk Nyumba Moja Ya Kulala Wageni Iliyopo Mjini Morogoro. Mwili Wa Binti Huyo Uligunduliwa Na Wahudumu Wa Gest Hiyo Wakati Wakifanya Usafi.Ulikutwa Ukiwa Uchi Wa Mnyama. Taarifa Zinasema Kuwa Binti Huyo Aliingia Ktk Gest Akiwa Na Mwanaume Ambaye Hadi Hivi Sasa Hajajulikana ambaye Inasemekana Alitoweka Usiku Wa Tukio.
Binti Mmoja Mwenye Umri Usiopungua Miaka 20,amekutwa Amekufa Ktk Nyumba Moja Ya Kulala Wageni Iliyopo Mjini Morogoro. Mwili Wa Binti Huyo Uligunduliwa Na Wahudumu Wa Gest Hiyo Wakati Wakifanya Usafi.Ulikutwa Ukiwa Uchi Wa Mnyama. Taarifa Zinasema Kuwa Binti Huyo Aliingia Ktk Gest Akiwa Na Mwanaume Ambaye Hadi Hivi Sasa Hajajulikana ambaye Inasemekana Alitoweka Usiku Wa Tukio.
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 422 Feb 7, 2015 #2 gem ilimshinda ?
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,418 Reaction score 82,410 Feb 7, 2015 #3 Weka picha,habari bila picha hainogi.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,840 Feb 7, 2015 #4 Uwiiii jamani?Kutembea na watu wasiojielewa jamani ni shida
kibafute JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 560 Reaction score 203 Feb 7, 2015 #6 nifah said: Weka picha,habari bila picha hainogi. Click to expand... Hayaaa
mjepo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 4,913 Reaction score 919 Feb 7, 2015 #7 Nawaachia wenye mada hizi.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,170 Reaction score 111,097 Feb 7, 2015 #8 Honey Faith said: Uwiiii jamani?Kutembea na watu wasiojielewa jamani ni shida Click to expand... kutembea nao kwenda wapi?
Honey Faith said: Uwiiii jamani?Kutembea na watu wasiojielewa jamani ni shida Click to expand... kutembea nao kwenda wapi?
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,292 Feb 7, 2015 #9 Watu8 said: kutembea nao kwenda wapi? Click to expand... gest kufanya mapenz
mutant gene JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 876 Reaction score 326 Feb 7, 2015 #10 Aiseee, haya mambo bana!! ndo maana tunatakiwa tumuombe Mungu atujaalie mwisho mwema kila uchwao!
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,840 Feb 7, 2015 #11 Watu8 said: kutembea nao kwenda wapi? Click to expand... Kwenda kwenye sayari ya .........
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,032 Reaction score 40,507 Feb 7, 2015 #12 Mabinti wa siku hizi tamaa itawamaliza...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,170 Reaction score 111,097 Feb 7, 2015 #13 Honey Faith said: Kwenda kwenye sayari ya ......... Click to expand... kwenda kidimbwi utamu eenh...
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,840 Feb 7, 2015 #14 Watu8 said: kwenda kidimbwi utamu eenh... Click to expand... Hahahahahaππππ
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,656 Feb 7, 2015 #15 pole yake pia watrack mawasiliano yake kama huyo mwaume waliwasiliana before ya kumit watampata kama alimuokota tu hapo ni sheeeeeeddeeeerrrrrrr
pole yake pia watrack mawasiliano yake kama huyo mwaume waliwasiliana before ya kumit watampata kama alimuokota tu hapo ni sheeeeeeddeeeerrrrrrr
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Feb 7, 2015 #16 Tamaa mbaya sana ameliwa mzigo mpaka mauti ndo hasara za kukimbilia mambo ya kikubwa.
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,805 Feb 7, 2015 #18 KikulachoChako said: Mabinti wa siku hizi tamaa itawamaliza... Click to expand... Get rich or Die try!
KikulachoChako said: Mabinti wa siku hizi tamaa itawamaliza... Click to expand... Get rich or Die try!
C.T.U JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 5,080 Reaction score 3,771 Feb 7, 2015 #19 Hivi hawakuandika hapo Gesti ,? hawakuacha hata na namba ya simu? suspect wa kwanza ni huyo Mhudumu
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,759 Reaction score 16,880 Feb 7, 2015 #20 mjepo said: Nawaachia wenye mada hizi. Click to expand... Kujifanya tu, Boss wako yule choir master ndo kidume haswa.
mjepo said: Nawaachia wenye mada hizi. Click to expand... Kujifanya tu, Boss wako yule choir master ndo kidume haswa.