Bingwa wa updates,Nokia yuko live Berlin Germany.

Nasoma haya kupitia Nokia 8...ni beast, nachoipendea iko speed sana huwa najivunia hata uje na simu gani tufanye speed test nitashinda tu. Sijawahi juta kumiliki simu hii.
Nokia 8 Ni flagship ya zamani, sd835 Ina nguvu Kushinda simu nyingi lazima uione simu Ina speed sana.
 
Lakini mkuu hizi simu nimewahi test madukani mbona hazina taste kabisa ya nokia tuliowazoea awali?
Hazitengenezwi na Nokia mkuu, zinatumia stock Android ambayo haijaongezwa manjonjo yoyote ndio maana unaona zipo hivyo, na ndio sababu pia zinapata updates haraka haraka.
 
Bro niuzie iyo simu nimetafta kila kona hamna
 
Simu ni maongezi bora ya ufanisi pamoja na chaji kukaa muda mrefu kuwezesha hayo maongezi...., mengine yote ni mbwembwe
Hapana hauko sawa simu inavitu vingi kabla ya kuamua kuinunua na hasa kwa kuzingatia haya
1. Durambility:- hapa mi ubora na uimara wa simu husika na uhimili wake wa changamoto

2. technology :- hapa ndio maswala ya camera, android version, sensors , display tech , battery nk) ,

3. security and safety :- hapa ndio maswala ya uwezo wa kuzuia radiation kwa mtumiaji na adhari zinginezo kwa mtumiaji pia uwezo wa kutunza na kuhifadhi faragha zamteja na kuziwekea ulinzi na usalama.

Hapo kidogo utapata mwangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…