Bingwa wa updates,Nokia yuko live Berlin Germany.

Nokia atabaki kua juu...chaji safi,muonekano safi,ubora na uwezo safi
 
hizi za batan nazo wangezihamishia tu kwenye android os, kaios km vile wanafeli, wanajaza 3rd part/secondary app na magem meng, user interface yake sio nzuri,
mkononi hapa nina e72 na 8110 4G lakin mambo meng ya haraka nafanya kwa hii e72 as i type now,
 
through inakula update kwa kwenda mbele now nina 16.00.17, kwa wenye 8110 4G wananielewa..
 
Hongera kwa utaalamu wa teknolojia.Kumbe inawezekana kutumia Android kwenye hizo simu za batani?.Hebu nifungue kidogo kuhusu hiyo Kai Os utendaji wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka saaaaaanaaaa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] tupo kwenye kikao bado tunasubiria tecno waachia update ya android 8,

 
Kai Os sio nzuri ukilinganisha na sailfish?.Maana kidogo hapo nina kaushamba.
Hii tatizo Ni os, s30 na 4G bado havijaclick kichwani mwangu, hope feature phone watakayozindua itakuwa na Android ama sailfish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…