Sawa Mzee baba umeeleweka sana.Heshima yenu wakuu!
Bila kupoteza muda niingie kwenye mada ni hivi toka nimeanza kugegeda sijawahi kutumia hii mifuko ya wazungu(condom).
Hii imetokana na kuzifuatilia namna zinavyotolewa ufafanuzi ya kwamba zinapunguza msisimko.
Nawasilisha.