James Kasonda
Member
- Apr 2, 2012
- 84
- 49
[emoji3] [emoji3] wache watu wajiburudishe...watoe stress za magu,yani JF ya sikuizi imejaa hoja na miandiko yakipuuzi tupu.
🙄🙄🙄🙄 kumbe Haya yote kasababisha magu?[emoji3] [emoji3] wache watu wajiburudishe...watoe stress za magu,
AhahahaaaaThe Don tuma salamu kwa watu watatu uwapendao hapa Jf
kwaio mkuu unaweza kaaga kwenye redio all day long kusubiri uskie ukisalimiwa?Si kila mtu anamiliki smartphone au ana uwezo wa kuwa na salio daily.
Binafsi sins tatizo na kutuma au kutumiwa salami redioni. Hata kama salami hizo hazinihusu.
Huwa inasaidia kuleta ukaribu,kufahamiana, na kuongeza ushawishi wa kuwakumbuka watu wako.
I think it' s a matter of attitude.
Kila jambo lina wakati wake mkuu...Hivi ni kwanini usimtumiane hizo salamu kwa SMS au whatsapp..?
Utoto huo ndo unauona Leo!!kabisa wanakera sana afu haya mambo ya kutumiana salamu radioni yapo afrika tu! huu m_bara wetu bhana dah! sjui nani kaanzisha huu utoto
Hawa vijana walio zaliwa kipindi cha vidonge na sindano, ni wapuuzi sana aiseeee...[emoji16] [emoji16]yani JF ya sikuizi imejaa hoja na miandiko yakipuuzi tupu.