Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,602
- 378
Utabir wa TB Joshua umetimia ndio, lakini ule wa Nabii Flora aliyesema Sioi atashinda ubunge kule Arumeru Mash.nafikili ulikuwa wa kichina au alikuwa anatekeleza matakwa ya Mwigulu.Utabiri wa TB JOSHUA WATAMIA ALISEMA BAADA YA MIEZI MIWILI KUNA RAIS ATAKUFA
unamaanisha baba mwanaasha?
TB JOSHUA mshenzi. akifanya mawasiliano na kujua kuna mtu anaumwa ndo anatabiri! Waamini ka misukule nanyi.Utabiri wa TB JOSHUA WATAMIA ALISEMA BAADA YA MIEZI MIWILI KUNA RAIS ATAKUFA
Hivi Pastor T.B Joshua hatabiri huku Tanzania maana kuna viongozi wengine wanakera kama akina "Jiwelinaloishi" a.k.a Lusinde wanabana nafasi za upinzani tu!
Baada ya tetesi kuzagaa nchini Malawi ya kifo cha Rais wao;wananchi wameingia mitaani kushangilia.Ama kweli hii ndiyo Africa ya sasa viongozi wa sasa;wajifunze kwani siyo utamaduni wa Africa hata kidogo,amekubali kuwa madikiteta wasio rasmi.na wapo wengi sana hapa Africa wanaongoza kwa kudra tu za Shetani shame on you African leaders of today.
huyo baadae yule wa arumeru aliejiuzulu abado huyu jamaa wa bagamoyo
Ha ha ha ha ha ha! Japo siutilii maanani utabiri wa TB Joshua, sipati picha taharuki na matusi atakayo poromoshewa hapa JF endapo atatabiri kitu kinachofanana na hiki:-
"The Lord has shown me events which are very very close to happen. I thought it was a mere dream but not. Keep my words.
... it was like this, I saw a famous politician in an African country who once used to serve in the temple of the Lord but later chose to go against his oaths to serve as the servant of the Lord.
.... that leader, the Lord showed me, is going to die very very soon. The death shall occur naturally, due to aging. Pray for that leader, pray for his party, pray for that country. More importantly, pray for stability in that country that it continues to be peaceful as it used to be all the time. ...".
Ha ha ha ha ha, just a joke!
...unashindwa nini kusema bado KIKWETE???? acheni uoga ndugu zangu,mimi binafsi ninawaonea donge watu wa Malawi wana bahati ya kutupa ahahahahahahah hakuna che rest in peace wala nini ...rest in inferno!!!!Hii ni habari njema na zawadi ya Pasaka kwa watu wa Malawi, bado nanihii................
Hii ni habari njema na zawadi ya Pasaka kwa watu wa Malawi, bado nanihii................
Mchungaji!!!!!???Ningependa hili litokee Tanzania !
TB JOSHUA mshenzi. akifanya mawasiliano na kujua kuna mtu anaumwa ndo anatabiri! Waamini ka misukule nanyi.
Kama wewe ni Mkristo, unayejua ukuu wa Mungu na Huduma na Vipawa vya Roho Mtakatifu, inakupasa ujutie dhambi hiyo ya kumtusi Mtumishi wa Mungu bali kama si Mkristo utakuwa hujui utendalo.