Bingu Mutharika afariki rasmi

Wananchi wa malawi watakuwa wamefurahi sana Mungu kuwafanyia mabadiliko ya uongozi.

Hii inatokana na jinsi walivyokuwa wanapigania kumwondoa madarakani.

Hii ni tafakuri yangu tu.

RIP wa MUTHARIKA.
 

Endelea kujifunza Biblia,usibishe kabla ya kusoma.
Kawasome manabii Elia na Elisha, utajua.
 
Wananchi wa malawi watakuwa wamefurahi sana Mungu kuwafanyia mabadiliko ya uongozi.

Hii inatokana na jinsi walivyokuwa wanapigania kumwondoa madarakani.

Hii ni tafakuri yangu tu.

RIP wa MUTHARIKA.
Kwa hiyo ikitokea hapa kwetu nasi tufurahi.
 
Nazidi kuamini Lowasa atakuwa rais wa 2015, kwani Joshua alitabiri kutokea kifo within two months kwa kiongozi wa afrrica pia aliwai kutoa utabiri juu ya Edo kuwa presider.......R.I.P Mutharika

Uongo kwa kutumia jina la Mtumishi wa Mungu. Jaribu kujiepusha na hili kwa faida ya muda mfupi usije kupata laana.
 
Utabiri wa TB JOSHUA WATAMIA ALISEMA BAADA YA MIEZI MIWILI KUNA RAIS ATAKUFA

Vitabu vya dini vinatuambia siri ya kifo cha binadamu ajuaye ni Mungu tu hawa miungu wengine waliomwibia Mungu siri hii wanatoka wapi hapa duniani?

siri ya uumbaji wa binadamu pia imebaki na Mungu.

Kwa wanaoamini katika maandiko ya Mungu hii imekaaje?

TB JOSHUA IS ANOTHER YAHYA HUSSEIN

TB JOSHUA = YAHYA HUSSEIN

Naomba radhi kwa niliowagusa kiroho
 
Wananchi wa malawi watakuwa wamefurahi sana Mungu kuwafanyia mabadiliko ya uongozi.

Hii inatokana na jinsi walivyokuwa wanapigania kumwondoa madarakani.

Hii ni tafakuri yangu tu.

RIP wa MUTHARIKA.

Bila shaka umeweza kutofautisha Nabii na Mpunga mapepo/ Mnajimu/Mpiga ramli.
 
Tuambie ni vitabu gani hivyo. Kama ni Biblia ntakupa msaada lkn kama ni vitabu vingine,
wewe endelea kuviamini.
 
kichekesho hapo ni kufariki rasmi. kwingine kuna kufariki nusunusu.
 
Bingu alikua kamanda sana...Afrika inahitaji watu kama huyu Bingu,Mugabe na Ghadaff,,, bahati mbaya sana wawili kati yao wameondoka na mmoja umri umemuacha sana...so sorry for my poor Afrika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…