Bingo startimes!

Bingo startimes!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,990
Reaction score
34,838
Wakuu nimepita Bamaga zilipo ofisi za Startimes kuna umati mkubwa nje ofisi zao ingawa bado hazijafunguliwa!

Ule umati unadhihirisha Startimes pengine ikakamata asilimia kubwa ya soko pamoja na huduma zao mbovu

Cha kushangaza ule umati haujui sehemu zingine za kupata ving'amuzi?
 
Wakuu nimepita Bamaga zilipo ofisi za Startimes kuna umati mkubwa nje ofisi zao bado hazijafunguliwa!

Ule umati unadhihirisha Startimes pengine ikakamata asilimia kubwa ya soko pamoja na huduma zao mbovu

Cha kushangaza ule umati haujui sehemu zingine za kupata ving'amuzi?

ingekuwa vyema pia ukawashauri watu hapa kuwa hawa star times wana huduma mbovu kwa vigezo, a..b...c..d..
halafu pia ushauri kuwa kama hao wana huduma mbovu wapi ambapo watu watapata huduma bora napo pia ukionyesha vigezo vinavyofaa(toa option). mambo ya digitali bado ni mageni kwa wengi..
na pia, waonyeshe hao wanaotaka kununua star times wapi pengine wanapoweza kupata huduma hiyo, ili wengi ambao hawajanunua pia waweze kufanya hivyo bila usumbufu. otherwise asante kwa taarifa
 
yani dubwana lao pale nyumbani mwangu linakwama halionyesh k2 linakatakata aghrr sjui la kufanya nimezungusha antena kila upande lakn hakuna kitu
 
me natumia king'amuzi cha startimes kwa zaidi ya miezi minne sasa,to be honest hapa tunaliwa tu hakuna cha maana.labda kwa wanaoishi kuanzia airport kuelekea kisarawe but huku kwetu ni mkatiko mwanzo mwisho.hiyo 18,000 huwa nalipa kuangalia movie za kihindi tu hamna chaneli nyingine ya maana kwa hizo za kulipia.na muda mwingi unakuwa haupo karibu na tv,unahitaji chaneli nzuri za burudani unaporudi umechoka.ngoja nijaribu na zuku nione wako vipi.
 
Nina king'amuzi hicho toka enzi za kombe la Dunia lilifanyika 'Sound Africa' 2010.
Sijawahi kupata tatizo la kukatika, picha la ukweli, kitu digitali!

Labda hivyo vingamuzi vyenu ni vile vya Manzese!
 
ingekuwa vyema pia ukawashauri watu hapa kuwa hawa star times wana huduma mbovu kwa vigezo, a..b...c..d..
halafu pia ushauri kuwa kama hao wana huduma mbovu wapi ambapo watu watapata huduma bora napo pia ukionyesha vigezo vinavyofaa(toa option). mambo ya digitali bado ni mageni kwa wengi..
na pia, waonyeshe hao wanaotaka kununua star times wapi pengine wanapoweza kupata huduma hiyo, ili wengi ambao hawajanunua pia waweze kufanya hivyo bila usumbufu. otherwise asante kwa taarifa

Startimes wapo cheap kiukweli ndio maana umati umejaa pale leo lakini hawana Channel nzuri hilo ndio tatizo kuu.

Startimes wana matawi maeneo mengi ya jiji lakini sijaelewa kwanini watu wameenda kujazana ofisi yao ya Bamaga! Pengine vimeisha mtaani imebidi watu waende makao makuu!
 
Nina king'amuzi hicho toka enzi za kombe la Dunia lilifanyika 'Sound Africa' 2010.
Sijawahi kupata tatizo la kukatika, picha la ukweli, kitu digitali!

Labda hivyo vingamuzi vyenu ni vile vya Manzese!
Mkuu "Sound Africa" ndio nchi gani hiyo? Au ndio hii mikoa mipya inayoanzishwa Kama Katavi!?
 
Startimes wapo cheap kiukweli ndio maana umati umejaa pale leo lakini hawana Channel nzuri hilo ndio tatizo kuu.

Startimes wana matawi maeneo mengi ya jiji lakini sijaelewa kwanini watu wameenda kujazana ofisi yao ya Bamaga! Pengine vimeisha mtaani imebidi watu waende makao makuu!
.

sasa mzee hawa wengine wanaotoa huduma nzuri kidogo hata kama ni ghali ni wapi,unaweza kunipa na vigezo vyao tafadhali..
watu wengi pia najua wana tatizo hili, na vipi kama mtu akiamua anunue 'dish' hata kwa ghrama kubwa zaidi ya hizo, ata enjoy huduma ama ni vipi
 
Kuna wito umetolewa na Mdau humu.
Watu wajaribu kuufanyia kazi pia..
 
Hii nchi bwana sijawahi kuona nchi kama hii Duniani kote....Kampuni inashinda tender hata bidhaa zake zenyewe hazijaingia sokoni, mliwahi kuona wapi hii? Kampuni ya 3 kupata idhini ya serikali kusambaza ving'amuzi hapa nchini baada ya Startimes na TING hata haijajua ita'supply ving'amuzi vya aina gani lkn ni 1 kati ya walioshinda tender hiyo out of Wenye Ving'amuzi vingine lukuki hapa nchini.
Ama kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo!
 
ivi wapi zuku tv wapi easy tv mbona mpo kama ampo vile. . yani soko lote hilo wameshindwa kujichotea wateja wanawaachia star tym wazidi kuwavuruga wa tz
 
Nina king'amuzi hicho toka enzi za kombe la Dunia lilifanyika 'Sound Africa' 2010.
Sijawahi kupata tatizo la kukatika, picha la ukweli, kitu digitali!

Labda hivyo vingamuzi vyenu ni vile vya Manzese!

Ni kweli ving'amuzi vinaleta shida baadhi ya sehemu hata ukienda kuwaeleza cha kwanza kukuuliza ni kuwa unaishi maeneo gani mfano kwa hapa DAR. Tatizo kubwa naliona kwa DAR ni watu wanaoishi karibu na makambi ya jeshi, kwa hivyo mawasilinao sometimes yanakuwa blurred...!
 
Back
Top Bottom