Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Kwa mujibu wa Qur'an,bnadamu wote,wameumbwa kutokana na udongo mweusi.
Kwa maana binadamu wa mwanzo,aliumbwa kutokana na udongo mweusi. Kwa hiyo Mtu mweusi ndio,baba mzazi wa binadamu wote.
Na ndio ukaona mtu mweusi, anamsaidia mtu mweupe kwenye mambo mengi.
Mtu mweusi yuko tayari,kupoteza hata uhai wake,kwa kumsaidia mtu mweupe kwa vile mtu mweusi,ndio baba wa mtu mweupe.
Tunskosea sana,kwa kuweka historia ya kuwa mtu mweusi,alikuwa mtumwa,sio utumwa aliyokuwa akifanya, ila alimuona huruma mwanawe, mtu mweupe, ili asipate tabu kimaisha.