Binamu yangu anapenda kukaa utupu kila akiniona, sijui kwanini?

Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.

Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza, sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakati naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.

Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake, nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed hata hashtuki mpaka nimeanza kuhisi kuna kitu anatafuta kwangu.

Sijui nifanye nini wadau, msaada tafadhali.
Anataka kukuunga na umeme mkubwa. Endelea tu
 
Mimi hata nikienda kumtembelea dada yangu wa tumbo moja silali hapo nyumbani kwake na mme wake nalala lodge, napo ni siku moja tu kesho safari
 
Yuko relaxed sana na wala hana feelings zozote na wewe yaani ana uhuru wake wala hakutaki wapo watu wa hivo kukaa uchi chumbani haoni shida na vile anajua yuko na binamu tena, usije ukamtongoza aisee utagombana naye bure.

Kingine usipende sana kuzoea vyumba vya watu wewe si mtoto wa kiume kaa njee fanya timing ya kuoga,
 
Ushasema Binamu
Ushasema anakaa uchi mbele yako
Ushasema karudia mara kadhaa

Unachotakiwa uelewe ni kwamba
Hizo ni jitihada za makusudi za kukueleza kiasi gani anakutaka na si kingine.

Vya kufanya;
Una machaguo mawili tu,
1. Uwe kama mimi, mambo ya binamu huwa sijiulizi mara mbili wala sitaki ushauri... Ni kuchomeka tu.

AU

2. Uwe kama nabii Yusuf (AS) kwa yule mke wa waziri wa farao. Ila Tofauti yako na Yusuf (AS) itakuwa ni kwamba yeye alikataa kutokana na Imani yake, ila wewe Itakuwa ni kutokana na Uoga wako, Uzandiki wako, Kukosa maamuzi kwako, na Ujinga wako personal.
 
Acha tamaa za kishamba hana mpango na wewe ilitokea tu bahati mbaya!!

Wewe kwa sababu unamtamani basi unahisi kama vile anakutega! Mtu analala na mumewe usiku kucha anapata yote anayotaka nini cha ziada anachohitaji?

Labda kama malaya wa kujiuza hapo sawa! Sema kama binamu yako ni malaya ndo tukuelewe!

La sivyo unamvunjia tu heshima na mihemko yako!!
Mzee baba je kama mumewe hamkamui hivyo anataka binamu amkwangue ukoko..?
 
Hio ni meseji kua uondoke anaona aibu kukwambia direct, Ila na we ndo ubongo ndo umeshindwa kutafsiri unawaza ngono tu
 
Hivi unapataje ujasiri wa kuandika bila Codes?

Mume wa muhusika akija humu unahisi atakufanya nini wewe fedhuli?
 
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.

Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza, sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakati naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.

Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake, nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed hata hashtuki mpaka nimeanza kuhisi kuna kitu anatafuta kwangu.

Sijui nifanye nini wadau, msaada tafadhali.
Mkuu huyo binamu ni mrembo?
Hebu nitumie PM namba zake haraka nimuonye..

Asije akaleta matatizo.
 
Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.

Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza, sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakati naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.

Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake, nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed hata hashtuki mpaka nimeanza kuhisi kuna kitu anatafuta kwangu.

Sijui nifanye nini wadau, msaada tafadhali.
Rudi Kwenu Dodoma, ungali bado unapumua na marinda yako yakiwa salama
 
Ni vile watu walishazoea maisha yao na hupenda kuwa huru wawapo kwao, jitahidi tu usepe maana kwa namna moja ama nyingine ni kama kikwazo kwa wao/binamu kuishi maisha yake/yao ya kawaida. And by the way, una moyo sana kwenda kumtembelea binamu yako wa jinsia ya ke aliolewa na kukaa kwake siku kadhaa!
 
Back
Top Bottom