Binamu Nyama ya Hamu..


Utastaafu kazi ila baiolojia iko pale pale inachapa kazi. Binamu kwangu ni ndugu siwezi kuwa na mahusiano naye wala mvulia kyupi yangu.
James Jeddah nampenda sana.... yeye ni wangu wakati wote... tumeshakulana tumeshibana.... tunabembelezana tuu.
Huyo binamu na aende huko hata simtafuti maana kanikosea heshima sana.
 
Sema age ndo umemzid na pia ye alitakiwa akutongoze mukiwa secondary
 
Kitu umepewa Bure,
Hulipii VAT lakini unabaana isitoshe kwa Binamu jamani?

Kuna watu Sijui mkoje?
Kitu kidogo tu ungempa mzigo,
Kisha u-Mwambie asirudie tena na umaanishe.

Kwa hatua mliyofikia ungekutana na njemba mwingine ungempa mzigo tu,
Sasa huyu dogo kukosa nini masikini?
Nitalia mimi!!,
Tena damu yako kabisa unaifanyia mtima-nyongo tu?? Aaaa umekosea.

Mambo mengine inahitajika busara tu.

BTW, Kumbe nawe wakimataifa?

Mwezi Unaokuja nitapita Hapo kwanu.
 
Sura sio roho huenda tungeuona ukweli Kasinde. ?????
 
Kila mtu anapumua kwa njia zote mbili... juu na chini. Mtu ninayemfunulia chupi yangu ruksa kunijambia wakati wowote, sio ulemavu huo ni afya. Na ukiona mtu hajawahi hata siku moja kukujambia ujue kuna mambo anakuficha.
Hahahaaa dat's ma big Mama Kasie!
 
Hahahaaa Bavaria.....
Unamfahamu huyu binamu? Maana haya uliyoyasema hapa ndo alivyoniambia. ...
Ati namnyima sasa hivi ila hakati tamaa ndo kwanza nimemuongezea kasi ya kunifatilia na ameniapia atakula tuu nyama ya hamu yaani mimi.....

Kesi za mapenzi haziishi kirahisi kama tunavyidhani.

Hasa mtu anaekutamani kwa muda mrefu sana na bado hakati tamaa.
 
Usishangae kalikuwa kananipenda mnoo tangu primary me ndo nilikuwa naleta pozi siku aliponipa daa nikadata yani kalipo olewa nikashukuru maana nahis kangepata mimba Chuo Penzi la Binamu Nomaa walahi
Hahahaha jf kuna mamboooooo aya bwana
 
Binamu nyama ya hamu...ukiila haiishi utamu.....

Sio.maneno yangu hayo nimedesa mahali tu
 
Kesi za mapenzi haziishi kirahisi kama tunavyidhani.

Hasa mtu anaekutamani kwa muda mrefu sana na bado hakati tamaa.

Bavaria acha kunitisha bana sasa mie ntamchunia tuu kama anaendelea kunifatilia atakuwa kimpango wake maana mie sina feelings nae... nina wangu nimpendae.... kuwa sijaolewa haimaanishi niko vacant kwa yeyote. ....
 
Muongezee kelebu nyingine akili imkae sawa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…