Binamu Nyama ya Hamu..

Binamu Nyama ya Hamu..

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Habari za usiku note,
Natumai mwisho wenu wa wiki unaenda vizuri.

Bila kupoteza maudhui, hii ni kali kuliko sigara looh.

Humu JF ndo nimekutana na binamu nyama ya hamu. Na hii imedhihirisha atafutaye hachoki akichoka keshapata. Kuna binamu yangu wa mbali kidogo mie bila kujua wala kutambua kumbe ananipenda bana, na pendo hilo sio nwee wala nwii ni pendo la mapenzi.

Mie najua utani tuu, alipoona simuelewi si akaanza kunifukunyua akajua ID yangu ya JF na akaanza kunichombeza. Nilimpotezea nikijua ni milupo ya humu JF hakukata tamaa, mwaka mzima ananifukuzia nikasema isiwe shida njoo SA as a date kisha baada ya hapo tutaona itakuwaje. Akaniambia hataki kufikia hotelini na akasisitiza afikie kwangu.

Nakatisha maelezo na kiufupi ile nimetokea Ortambo airport kumpokea si ndo nashangaa ni binamu macho yalintoka

Kwanza mdogo kwangu miaka 10 nikamwambia kwangu sikupeleki utafikia hoteli. Tumebishana nikamwambia ukiniletea mizengwe mi naomba emergency off days naenda zangu TZ nakuacha hapa. Ndo akakubali kufikia hoteli baada ya majadiliano ya kina binamu akataka nyama ya hamu.

Nilijikuta nampiga keleb moja (kibao cha shavuni) kisha nikamtukana na kuondoka. Binamu kanichefua maana mi simpendi na ni mdogo kwangu halafu anaanzaje kuwaza ngono kwa binamu yake ambaye ni sawa na dada yake?

Nimemblock kwenye njia zangu zote za mawasiliano na amenifanya mawasiliano yoyote yanayonitafuta ambayo siyafahamu basi sijibu wala sipokei yaani nakacha.

Sitaki hata kujua kama bado yuko SA au ameshaondokamaana alikuja jana jioni.

Au mie sikuelewa nyama ya hamu ni nini labda kama sio matusi?

Mnisaidie kunielewesha

Kasie.
 
Secret admirer...Punguza Hasira halafu ongea naye kiutu uzima....sababu yeye ni mdogo kwako na ufikiri wake ni finyu...asije akafanya kitu kibaya kwake binafsi ukaja kupewa lawama wewe...(wakati yeye hatokuwepo kujiwakilisha). Yashanitokea mimi ila alikuwa mkubwa kwangu, tuliongea na hadi leo tunaheshimiana kama Kaka na Dada.
Pole lakini.
 
Mimi nilifikiri Kasinde ushafika Ubungo kumbe bado safari inaendelea thanks to your biology...Kama ni binamu yako kweli, ulipaswa kumpokea kwa ukarimu alafu hayo mengine mngeelezana kiutu uzima, au ulimuogopa Jamse Jeddah?...Mtafute aliko, suluhisha huo mgogoro kiutu uzima na uhakikishe anarejea akiwa na amani.Ugomvi wa kindugu siyo mzuri!
 
Mpe tu nyama,inakuwaga tamu hiyo balaa.Ya kaundugu flani hivi ohooo
 
toka kwa Nyerere hadi kwa Madiba, halafu akaambulia kelebu, 🙂 🙂 kaaaaazi kweli kweli
Naona kuna haja ya kuogea maji ya bahari yaliyochanganywa na magadi pamoja na ndimu...Nauli kwenda na kurudi ni kama 1.5M na kitu...sijui angepata mbunye ngapi kama angeziwekeza pale Hyena Stadium?
 
Huyo ndo mwanaume sasa.
Anakupenda toka enzi na enzi na hakati tamaa.
Amekuja hadi SA kwa ajili ya nyama ya hamu.
Na kwa ujasiri amekuambia shida yake wazi.
Pamoja na kwamba umemkatili hivyo, atarudi Tanzania kwa ushindi wa hali ya juu. Siku ukikutana nae dhamira yako itakusuta.
Ila kumbuka, huyo binamu lazima atakula hiyo nyama ya hamu.
Hiyo kesi haiishi leo wala kesho.
 
Basi umefanya jambo la mbolea make nasikia siku hizi mnaogopa sana kujambiwa ndani wenyewe.
 
pole sana,

huyo binamu hata baada ya kujua wewe ni binamu yake na bado akataka,basi ni baradhuli huyo,hafai kuwa mumeo,labda ndio zake,anawaparamia dada zake na binamu zake ndio maana haogopi.......🙁🙁🙁🙁🙁
 
Muonjeshe mara moja alau aridhike nawe pia uridhike. Ikitokea mmeridhikana basi muendelee kuridhishana maana huu mchezo hauangalii undugu... ni misuguano tu ya misuli ya watu wawili wenye jinsia tofauti. Undugu ni jambo la pembeni saana.
 
Kupenda binamu sio dhambi ma ake hi i vitu vinatokeaga tu automatically.Muombee hiyo haki huwa inaisha.mm iliwahi nitokea huko nyuma nashukuru Mungu ilikwisha kabisa
 
Edo Kumwembe jana kaenda SA, na ana miaka kama 40 hivi...ukijumlisha 10 years unaweza kupata 50 years ambayo inaweza kuwa miaka ya Kasie!

(Just joking...)
Yule kaenda kikazi mkuu,tumpe heshima yake.
 
Habari za usiku note,
Natumai mwisho wenu wa wiki unaenda vizuri.

Bila kupoteza maudhui, hii ni kali kuliko sigara looh....

Humu JF ndo nimekutana na binamu nyama ya hamu. Na hii imedhihirisha atafutaye hachoki akichoka keshapata. Kuna binamu yangu wa mbali kidogo mie bila kujua wala kutambua kumbe ananipenda bana, na pendo hilo sio nwee wala nwii ni pendo la mapenzi. Mie najua utani tuu, alipoona simuelewi si akaanza kunifukunyua.... akajua ID yangu ya JF na akaanza kunichombeza. Nilimpotezea nikijua ni milupo ya humu JF hakukata tamaa.... mwaka mzima ananifukuzia nikasema isiwe shida njoo SA as a date kisha baada ya hapo tutaona itakuwaje. Akaniambia hataki kufikia hotelini na akasisitiza afikie kwangu.
Nakatisha maelezo na kiufupi ile nimetokea Ortambo airport kumpokea si ndo nashangaa ni binamu....... macho yalintoka. ...

Kwanza mdogo kwangu miaka 10 nikamwambia kwangu sikupeleki utafikia hoteli. Tumebishana nikamwambia ukiniletea mizengwe mi naomba emergency off days naenda zangu TZ nakuacha hapa. Ndo akakubali kufikia hoteli.... baada ya majadiliano ya kina.... binamu akataka nyama ya hamu.

Nilijikuta nampiga keleb moja (kibao cha shavuni) kisha nikamtukana na kuondoka. Binamu kanichefua maana mi simpendi na ni mdogo kwangu halafu anaanzaje kuwaza ngono kwa binamu yake ambaye ni sawa na dada yake?
Nimemblock kwenye njia zangu zote za mawasiliano na amenifanya mawasiliano yoyote yanayonitafuta ambayo siyafahamu basi sijibu wala sipokei yaani nakacha.
Sitaki hata kujua kama bado yuko SA au ameshaondoka.... maana alikuja jana jioni.

Au mie sikuelewa nyama ya hamu ni nini labda kama sio matusi? Mnisaidie kunielewesha ......

Kasie.
Pole mkuu ila ungempa haki yake alafu c vema kumblock ktk mawasiliano cha msingi muekee mipaka tu hopefully atakutii
 
He he he hilo kerebu ndo limemuongezea hamu ya nyama ya hamu.... kazi kwako!!
 
Back
Top Bottom