Binamu ni nyama ya hamu?

inategemeana na mila zenu, wengine hawana mila. kiukweli ni ndugu zako haipendezi na haifai
 

Hakuna cha ajabu hapo, kula kitu roho inapenda..
 
Si vizuri kunanii ha bindamu, bali inashauriwa kuoa kabisa, swala la kunanihii huo utakuwa ni uasherati na ni dhambi kwa Muumba.
 
Hakuna makosa yoyote kuoa binam yako kwa mfano pande za kwetu mtoto wa shangazi au mjomba unaoa na zamani mabibi zetu walikuwa walituambia walikuwa hata mtoto wa baba mkubwa au mdogo ila mtoto wa mama mdogo yaani mdogo wake na mama ni marufuku sema wamebadilika siku hizi tunaishia kwa shangazi na mjomba tu na hakuna dhambi yoyote ila fanyeni hayo kwa kufunga ndoa sio uzinzi au bf na gf.
 
Tangopori inategemea na kabila lako mana kuna makabila yanaruhusiwa hata kuoa kabisa binamu
 
Si vizuri kunanii ha bindamu, bali inashauriwa kuoa kabisa, swala la kunanihii huo utakuwa ni uasherati na ni dhambi kwa Muumba.
Mtambuzi naona ww mkuu itakua ni wale ndugu zetu wanaoruhusiwa kuoa binamu
 
hivi sheria zetu zinajumuisha mahusiano ya aina hii katika kosa la incest?
 
Mtambuzi naona ww mkuu itakua ni wale ndugu zetu wanaoruhusiwa kuoa binamu
CUTE Yeah! ni kweli kabisa, kuna kaka zangu wawili wameoa dada binamu na maisha yao yako powa kabisa.......
 
Last edited by a moderator:
hahhaa duh! hii mm hapana kuona nasikiaga tu
CUTE mbona mambo ya kawaida tu hayo, tena kwetu huwa tunafanya ndoa ya kimila na ndoa za namna hiyo huwa zinadumu..........
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi,hivi ndoa ni mpaka ufanyeje vile?
 
Last edited by a moderator:
Mila zetu za kiarabu zinaruhusu ati binamu nyama ya hamu!
 

Kama unaweza kufanya uzinifu na dada ya mwenzio nje ya ndoa kwanini ushindwe kufanya hata na dada yako wacha binamu yako? Haramu ni haramu tu, haijalishi na nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…