Binamu jipu

Binamu jipu

Kiufupi huyo ni mke mwenzio.
Binamu hatongozwi.
Muda wowote akitaka atamla.
Binamu ni mke au mume wa maisha yako.
Labla na wewe uwe binamu yangu.
 
Habari wakuu nibinti wamiaka23 na mchumba wangu tunaetegemea kuoana mwez wa7, lakini hii tabia yakuwa karibu na binamu yake inanipa mashaka.

Mara nakuta sms kaka naomba vocha , kaka naomba pesa yasaluni mara kaka sijui vitu gani full mapicha na nibinti mkubwa wamiaka 27

Sasa hii yajana ndio kaliminilienda kwa huyomchumba angu bila kumpa taarifa ilikua mida yasaa3. Usiku sikumkuta kwakua nilikua nafunguoo nikafungua nikaa sebleni .
Na

Nimgoje arudi gafra binamu ameingia anauliza kaka yupo wapi . sasa nimejalibu kumuuliza nahuyu ndugu yako kuna nini mbona ukaribu umkua ivi adi kufatana home usiku anasema hakuna lolote niundugu tu binafsi naisi tofauti.

Naombeni ushauri kuhusu hili ni muache au nifanyejee maana huyu binamu simueli nae , kibaya akinikuta mimi nyumbani kwakaka yake hakai kabisa.
Naombeni ushauri.
Amoxline usijali huyo ni kocha wa mapenzi wa mchumba wako akifuzu atakukabidhi mtu wako akiwa upgraded.
Unajua wale mabinamu mapenzi yao ni unconditional na wana mapenzi ya kweli sana halafu no wivu zembe.
Wewe mpende na ukiolewa atakoma na atakupenda zaidi maana atapenda "mpenzi wake "awe katika moyo salama
 
Hata mimi nashangaa umri mdogo hivyo unakimbilia kuolewa. baada ya muda kidogo tu unaanza kuleta ghubu. dunia bado hujaifahamu maana hata tu msemo "Binamu nyamanya hamu" hujauelewa.
 
Huyo ni binamu na ataendelea kuwa binamu milele damu nzito kuliko maji. We mmekutana tu hamna undugu wowote, jichunguze kama unakubalika vinginevyo kaa pembeni. Ha ha ha ha.
 
Yani umeanza kuonesha tabia ya kutowapenda ndugu zake kabla hata hujaolewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom