mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,027
- 1,750
Mkuu huo sio uanaharakati ni ujasiriamali!Direct kwenye mada.
Kuna wanawake wanajikuta wapambanaji sana, kila biashara inayoibuka wanajikuta kushiriki; mara kuuza vitenge, sijui vyombo online mara ana vikoba saba, mara boxer na vest, mara kwnye magauni na chupi za kike wapo!
Aisee kwa mimi inanikera sana kua na mpenzi wa namna hiyo, wengi nyie wanawake mna mapepe mkidhani kuzurura hovyo kwenye biashara mbalimbali tutawaona wapambanaji. But hell NO, kwangu (I think pia kwa wanaume wengi) ukiwa na hilo wenge halivutii kabisa.
Why dont you stick kwenye one Bussiness?
Mihangaiko yenu yote wala hailetagi matokeo chanya.
Mimi naonaga wanawake jukumu lao ni moja tu. Kukaa ndani, kulea familia na kutunza nyumba.
Wanawake acheni kuwa wanaharakati.
Pia kheri hao wanaojishughulisha kuliko wale magolikipa wa kungojea na kudaka kila kitu akitokea penye mkeka!
Amini nakwambia ukiwa na mwanamke mpambanaji katika familia faida zake ni nyingi, mojawapo ni:-
1.Familia itakuwa na uhakika wa mahitaji japo ya kila siku
2.Watoto watakuwa na uhakika wa kuendelea na maisha ikiwemo masomo hata kama wewe baba ukifariki
3.Hata kama wewe baba ukiugua na kukaa ndani, bado familia itakula, itakunywa na kupata malazi
4.Wengi wa wanawake wanaokuwa bize na biashara sio rahisi kudanyika kwa pesa kama mama wa nyumbani, mama wengi wa nyumbani wasio na kipato huliwa hata na vijana wadogo tu kisa kijana kampa mshiko.
5.Pia kukaa nyumbani bila kazi kunamfanya mwanamke asiwe na la kuwazia sana zaidi ya mapenzi na hivyo kuwa mwepesi wa kucheat1