Binadamu wote tupo kwenye ‘Death row’

Binadamu wote tupo kwenye ‘Death row’

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,521
Reaction score
46,606
Wafungwa waliohukumiwa kifo huwa wanaitwa ‘Death row inmates’, na mara nyingi hawajui watatekelezewa hukumu yao lini.

Sasa tofauti ya wafungwa wa ‘Death row’ na binadamu wote kwa ujumla ni ipi hasa?

Bila shaka uhai ni adhabu kwa kosa flani tulilofanya huko nyuma..
 
Tafuta hela mkuu....
Hakuna kitu kikubwa kwa ngu mimi kama kuishi nikiwa huru "wakati nasubiri kifo"
Ila minaona.....
Nyerere alifanya haraka kupambania uhuru kutoka kwa mkoloni...🤣 bora angesubiri kidogo....🙄
 
Hata mimi hilo huwa naliwaza angesubiri subiri hata adai uhuru miaka ya 85-90 huko
 
Wafungwa waliohukumiwa kifo huwa wanaitwa ‘Death row inmates’, na mara nyingi hawajui watatekelezewa hukumu yao lini.

Sasa tofauti ya wafungwa wa ‘Death row’ na binadamu wote kwa ujumla ni ipi hasa?

Bila shaka uhai ni adhabu kwa kosa flani tulilofanya huko nyuma..
Mmeanza kuchanganyikiwa sasa!, yani uhai uwe ni kosa ambalo mmelifanya huko nyuma!, halafu kosa lenyewe hulijui..?😅
tena huko ulipotoka hupajui, huna kumbukumbu napo!.

Walau ukiniambia binadamu ni teknolojia fulani ambayo ni intelligent naweza kukuelewa lkn mkianza yale mambo yakihayawani, sijui kashushwa, kaletwa na roho n.k

Kwa ufahamu wa binadamu ulivyo na ambavyo hauna mipaka yakufikiri basi ndio kiumbe intelligent kishinda viumbe wote hapa duniani, so kuwa na sifa hiyo isitufanye tutoke sana nje!. Uwezo wetu bado ni wanyamanyama i mean ni halisia na hii inanipa picha ulimwengu unavyofanya kazi!..
yaonyesha ulimwengu ni complicate lakini inahitaji muda kuutafiti nakuujua ukweli ila haujakaa kiroho kama watu wanavyofikiri!.
 
View: https://youtu.be/9C61uNoBjqw?si=8JFF0Rc6SuYSQThT
 
Wafungwa waliohukumiwa kifo huwa Wanajua hukumu yao inatekelezwa lini na huwa wanapewa fursa ya last meal kuagiza chakula cha mwisho wanachopenda pamoja na kuacha ujumbe wa mwisho kabla ya execution
 
Wengi hukaa miaka hata 20 na hukumu haijatekelezwa..
 
Bila shaka uhai ni adhabu kwa kosa flani tulilofanya huko nyuma..

Uhai ni adhabu au kifo ndiyo adhabu?

Kwa sisi tunaosoma kitabu cha Biblia kuna nukuu hii hapa:

Warumi 5:12
Kwa hiyo kama vile ambavyo dhambi iliingia ulimwenguni kupitia kwa mtu mmoja, na dhambi ikaleta kifo, na kwa njia hiyo kifo kikawajia watu wote kwa kuwa wote walitenda dhambi.
 
Hakuna kifo bila uhai
 
Back
Top Bottom