Ukibahatika kuishi naye utapata experience ya ajabu sana....tulisoma na kijana mmoja Victor(pengine sio jina lake halisi) huyu muda mwingi sana alikuwa mkimya na mtu wa fikra sanaNataman nikamchukue niishi naye....
Vichwa KOPO utasikia NCHI hii inabidi siku izuke vita ndo tutashikana ADABU agriiiiiiiiii mabomu ya GONGO la mboto tulishutua wanaodai wamedata wanatupita KIWALANI tukiwa tunakula mambo yetu wanakimbilia TEMEKE....vita mshuudie tu RAMBO VIDEONI.Maumivu yake hayatakaa yaishe
Vichwa KOPO utasikia NCHI hii inabidi siku izuke vita ndo tutashikana ADABU agriiiiiiiiii mabomu ya GONGO la mboto tulishutua wanaodai wamedata wanatupita KIWALANI tukiwa tunakula mambo yetu wanakimbilia TEMEKE....vita mshuudie tu RAMBO VIDEONI.
Duh!! Haya yote ni tamaa ya madaraka!! Afrika yetu hiiUkibahatika kuishi naye utapata experience ya ajabu sana....tulisoma na kijana mmoja Victor(pengine sio jina lake halisi) huyu muda mwingi sana alikuwa mkimya na mtu wa fikra sana
Siku moja nikamuuliza historia yake niliogopa kwakweli, yeye ni mhanga wa mauaji ya kimbari Rwanda 1994
Banyamulenge waliingia kwenye makazi yao yeye akiwa chooni anajisaidia lakini akafanikiwa kutoka na kujificha kwenye mti mkubwa uliokuwa pembeni ya nyumba yao...anasimulia kuwa aliwaona Banyamulenge wakiwatoa ndugu zake nje baba mama dada na kaka zake wawili wakawachinja kisha kuwakatakata kwa mapanga mbele ya macho yake