mwaminifuhalisi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 329
- 416
Baada ya kupita kipindi kirefu tangu mwanadamu alipotua mwezini, kampuni ya spaceX jumatatu ya tarehe 27/2/2017 imetangaza kupitia kwa muasisi wake Elon Musk kuwa itafanya trip ya kibinifasi kwa watu wawili mwaka 2018 mwezini.
Kampuni hiyo ya maswala ya anga itatumia rocket aina ya "Falcon Heavy Rocket" kupeleka watu hao mwezini ambao bado majina yao hayajawekwa wazi.
Watu wao wanaotaraji kwenda mwezini tayari wameshafanya malipo ya awali kwa kampuni hiyo na sasa wapo kwenye hatua ya kuanza kuwapa mafunzo watalii hao wa anga ili kufanikisha safari kwa usalama na uhakika.
Sasa mzizi wa fititna unaenda kukatwa na watu wote wa kizazi cha sasa watashuhudia binadamu akitua mwezini mwaka 2018 baada ya baadhi ya watu kutokuamini kwamba binadamu alishawahi tua mwezini.
source: SpaceX to Fly Passengers On Private Trip Around the Moon in 2018