Binadamu watatu wema hapa duniani

Njia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambi
 
Naona unamsifia mama wa watoto wengine, wewe mama ako yuko kundi moja na shetani?
 
Mtoto.msenge sana wewe yaani hata baba yako aliyekuwa halali ili ampe mama yako mimba hujamuweka kwenye hiyo list
 
Kama umefika umri wa kuona wajukuu halafu ukaishia kuwa zee pumbavu kiasi hiki, basi wajukuu hawana cha kujivunia!
 
Ni
Nilitegemea namba 3 ningeona wazazi wako. Hivi huwa mnapewa nini kikubwa hasa hadi kutukuza binadamu wenzenu kiasi hicho? Au mnapewa mishahara na posho kufuru labda.
Ni uzalendo tu 🇹🇿
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…