Binadamu unapaswa ujue haya...

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
main-qimg-e289a73dc1e51d775ca56148bd785fcd.jpg


Itatokea nini pale ambapo ukiwaeka pamoja mchwa 100 wekundu na wengine 100 mchwa weusi kwenye chupa moja???

Kikawaida hakuna lolote litatokea!!

Lakini balaa litatokea pale Ambapo
Utaitingisha chupa ambayo ndani yake wapo mchwa (wekundu na weusi)

Mchwa wekundu wataamini adui ni mchwa weusi, Vivyo hivyo mchwa weusi wataamini adui yao ni mchwa wekundu

Wataanza kupigana sana bila kujua adui yao ni alie tingisha chupa!.

Vivyo hivyo kwenye jamii zetu, kabla hatujaanza farakana au kugombana na wenzetu kwenye jamii yetu, lazima tujiulize. Je ni nani alie tingisha chupa?

Amani itutawale
 
Kuna huyu mke wa mtu hapa naona anataka kujaribu kutingisha chupa, anajisumbua tuu mana mm ht sijawah kuwa na hisia za mapenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom