Naomba kukazia kama hutojali.Uzi wa kitoto sana ..
We usijitetee, huu Uzi ni wa kitoto sana, kwani uongoAnzisha wako wa kiutu uzima
Msamehe huyo dogo amekurupukaWe usijitetee, huu Uzi ni wa kitoto sana, kwani uongo
Matokeo ya hii mechi pleaseKwa kawaida sisi wana Simba hatunaga akili mbovu kama hawa wenzetu vinyesi fc, imekua kero mitaani ukibishana nao kidogo tu wanakumbushia tobo alilopigwa zimbwe kana kwamba ni kitu cha ajabu sana na hii inaonyesha ni namna gani hawa ndugu zetu walivyo malimbukeni.
Anyway binadamu tumeumbiwa kusahau, hivyo ningeomba niwakumbushe tu na kama Simba tungekua na ulimbukeni kama hawa ndugu zetu basi mjini pasingetosha maana Simba udambwi udambwi ndio mwake, Chama kuna kipindi mpaka alitaka kushtakiwa kwa ukiukwaji wa haki za kibinadamu uwanjani, akaamua kupunguza vyenga vya maudhi. Embu tujikumbushe kidogo hapo chini [emoji23]View attachment 2339046
Hilo apoVimewauma sana naona. Mleta mada tafuta picha ya tobo la yule mkongo wao alopigwa kwny mechi yao na coastal
Mwendo wa kugalagalaKwa kawaida sisi wana Simba hatunaga akili mbovu kama hawa wenzetu vinyesi fc, imekua kero mitaani ukibishana nao kidogo tu wanakumbushia tobo alilopigwa zimbwe kana kwamba ni kitu cha ajabu sana na hii inaonyesha ni namna gani hawa ndugu zetu walivyo malimbukeni.
Anyway binadamu tumeumbiwa kusahau, hivyo ningeomba niwakumbushe tu na kama Simba tungekua na ulimbukeni kama hawa ndugu zetu basi mjini pasingetosha maana Simba udambwi udambwi ndio mwake, Chama kuna kipindi mpaka alitaka kushtakiwa kwa ukiukwaji wa haki za kibinadamu uwanjani, akaamua kupunguza vyenga vya maudhi. Embu tujikumbushe kidogo hapo chini [emoji23]View attachment 2339046
Hahaaaa unatia huruma yani unaifananisha hii picha na hyo juu ya mwamba wa lusaka na beby fei? Kwanza nadhani uliiona ile mechi ni udhaliishajiMwendo wa kugalagalaView attachment 2340037
Nipe matokeo ya hio mechiHahaaaa unatia huruma yani unaifananisha hii picha na hyo juu ya mwamba wa lusaka na beby fei? Kwanza nadhani uliiona ile mechi ni udhaliishaji