Binadamu tumeiga kwa wanyama?

Hata Bruce Lee mfalme wa Kung-fu alikuwa akiiga sanaa ya mapigano kwa wanyama!

Ic kumbe tunaiga mengi!!!!!
evernder alimng'ata Tyson aliiga kwa Punda, maana ugomvi wa punda ni kulana masikio tehheeee teheee teheee watu wa Singida wanayajua hayo
 
....mbwa hao kudadadeki wanapiga threesome
utakuta kale ka tatu kanaguna tu pembeni.

da nimeipenda iyo ebu niambie unafuga mbwa nn au umeona kwa jiran;zambikuwachungulia mbwa kwenye starehe zao bwana usifanye ivyo tena.pia wanalogana hao ndo maana wananatana.yan yule wapemben wakimzingua atafanya mambo tu then wananatana
 
mi chabo popote kwa watu na wanyama twende kazi....
 
....mbwa hao kudadadeki wanapiga threesome
utakuta kale ka tatu kanaguna tu pembeni.

Haa haaa haaa haaaaaa .... umenikumbusha last week nusu niwapitie juu.. nipo moto nakata kona nawakuta wamenatiana pembeni wapo wengine kama watano wanazunguka zunguka!! kila nipiga horn hawatoki!!! maana jike anataka kwenda huku..dume huku sasa kwa pembeni kalipo kengine kanaonekana kameufya ile mbaya. nikakaonea huruma sana.
 
wabakaji wanafanya kama kuku!
 
ngoja nikafanye zote nikimaliza nitakuja na jibu.

Haa haaa haaa haaaa tunakusubiri. maana utamu ni utamu.. hata pilipili ni tamu ndio maana inaliwa huku shiiii haaaaa nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…