Binadamu ni wakatili sana

😒😒😭😭
Mmewezaje kutazama hadi mwisho? Yaan najikuta naogopa sana.
Sijaweza... Nime skip sana hiyo video huku Brightness ya display ikiwa 5% lakini bado tuu😒😒
 
Sijaweza... Nime skip sana hiyo video huku Brightness ya display ikiwa 5% lakini bado tuu😒😒
Duuuh huyo dada kauawa kikatili sanaa,
Jamanii mmmh
 
Hio video nilikutana nayo, sikutaka hata kubofya ni play...
Videos za aina hio huwa nikitizama zinanirudia kichwani...

Wakikamatwa na wao wakatwe viungo iwe fundisho..
 
acheni ujinga
sio kila kitu ni cha kuangalia mitandaoni, ujinga mwingine kuangalia unaakisi kiwango chako cha akili
hivyo vipo dark web vingi tu na sijawahi hata kufikiria kuangalia
 
acheni ujinga
sio kila kitu ni cha kuangalia mitandaoni, ujinga mwingine kuangalia unaakisi kiwango chako cha akili
hivyo vipo dark web vingi tu na sijawahi hata kufikiria kuangalia
Mkuu na werevu wako umeshindwa hata kujua alama za uandishi? Hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo tuu ni mtihani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…