Binadamu ni wakatili sana

Kwa jinsi wanavyosema walio iona, mie hata sitaki kutazama kwa kweli.
Mwishoni walitengenisha kichwa na viungo baadhi wakawa wanavibeba mbele ya Camera...😒😒
 
Mwishoni walitengenisha kichwa na viungo baadhi wakawa wanavibeba mbele ya Camera...😒😒
😒😒😭😭
Mmewezaje kutazama hadi mwisho? Yaan najikuta naogopa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…