DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,536
- 1,997
so when somebody tells u came from snake will you believe too?than whats wrong with these chimpanzee and gorrilas still not be ableto became uman beings and i was thinking maybe now they will be more of than human being form the gorillas
Ukisema Bin Adam - Binadamu - maana yake mtoto wa Adam sasa mtoto wa Adam anatokana na nani?
Nadharia (na siyo nadhalia) ambayo wewe unayoisema kuwa binadamu wametokana na Adam na Hawa hiyo haipo, kwani vitabu vya dini ndivyo vilivyobainisha kuwa watu wa mwanzo kuumbwa na Mungu ni Adam na Hawa. Hiyo Nadharia ya kuwa mwanadamu kapitia hatua mbalimbali mpaka kuwa binadamu kamili hiyo ndiyo nadharia kwani ushahidi wake hauna mashiko ni (hypothesis) nadharia tu kama nadharia nyingine. Hivi miaka mingapi imeshapita mbona masokwe yapo kama yalivyo na binadamu wapo kama walivyo hawajabadilika!?
Hivi kuamini binadamu kuweza kubadilika rangi kwako ni vigumu lakini unaweza kuamini sokwe anaweza kubadilika kuwa binadamu!
Nimeupenda sana mfano huuJibu maswali haya kwanza :
1.Je tunda lililoiva mtini likadondoka lisipookotwa linaoza na katika kuoza huko hutokea wadudu (funza) sasa Je wale funza walioozesha lile tunda wametokea wapi?
2.Je funza waliotokea na wakati embe ikioza ni sawa na wale waliotekezea kwenye papai,nanasi,pera n.k?
3.Kutokana na tofauti ya hali ya hewa katika maeneo mbalimbali ya dunia.. Je miti ya matunda yaliyopo Africa ni sawa na miti iliyoko Ulaya na Asia?
Ukijibu maswali haya utagundua chanzo cha utofauti uliopo.. Hatua za mabadilko ya binadamu ni ya kila aina ikiwa ni pamoja na wanyama na viumbe wengine wote.
Macro-evolution tells the answer:than whats wrong with these chimpanzee and gorrilas still not be ableto became uman beings and i was thinking maybe now they will be more of than human being form the gorillas
NYALENGOBinadamu aliumbwa na Mungu kwa kutumia udongo. Ushahidi wake upo wazi saana. Angalieni idadi kubwa ya wanawake wajawazito Mara nyingi hupenda kutafuna udongo wawapo katika hali hiyo na wanapokaribia kujifungua huacha. Hii hudhihirisha kuwa udongo ni malighafi muhimu ktk uumbaji Wa kiumbe kipya (binadamu). Ningependa mjadala huu ufungwe, maana tunaweza kutafuta reference za kila aina lakini ukweli halisi ni huu. Nawasilisha.
Mbona umeelewa halafu unajifanya hujaelewa mkuu?Na kwa kuongezea,
Hapo kale kulikuwa na species nyingi za homo na wakati Homo sapiens akitokea ali co exist pamoja na species nyingine kama neanderthals huko Ulaya. Kwa ufupi zamani kulikuwa na species nyingi sana za binadamu.
Presently kuna species moja tu ya binadamu duniani kote ambayo ni Sapiens. Hizo species nyingine zilivyotoweka kabisa kwenye uso wa dunia mimi na wewe hatufahamu. Hakuna anayefahamu.
Mafuvu yanayogunduliwa kila siku huwa huyasikii?Hili unaweza kututhitishia vipi ?
??????Mbona umeelewa halafu unajifanya hujaelewa mkuu?
Ndugu yangu mbona kama umekata tamaa na mambo ya Mungu?Historia hizi ni kujifariji/sarakasi a.ka panadol tu, hakuna jibu humo.
HapanaNdugu yangu mbona kama umekata tamaa na mambo ya Mungu?
Samahani,umewahi kuwa mfuasi dhabiti wa dini yoyote?
pole sana.Hapana
Asante sanapole sana.
Mkuu binadamu wote walitokana na Mtu mweusi.Mwafrika kumzaa Mzungu inawezekana,ila Mzungu kumzaa Mwafrika haiwezekani.Tofauti ni kuwa Mwafrika ana kitu zaidi kinaitwa Melanin,Mzungu ana upungufu wa hicho kitu.Jibu maswali haya kwanza :
1.Je tunda lililoiva mtini likadondoka lisipookotwa linaoza na katika kuoza huko hutokea wadudu (funza) sasa Je wale funza walioozesha lile tunda wametokea wapi?
2.Je funza waliotokea na wakati embe ikioza ni sawa na wale waliotekezea kwenye papai,nanasi,pera n.k?
3.Kutokana na tofauti ya hali ya hewa katika maeneo mbalimbali ya dunia.. Je miti ya matunda yaliyopo Africa ni sawa na miti iliyoko Ulaya na Asia?
Ukijibu maswali haya utagundua chanzo cha utofauti uliopo.. Hatua za mabadilko ya binadamu ni ya kila aina ikiwa ni pamoja na wanyama na viumbe wengine wote.
Mkuu funguka zaidi au kama una nyuzi uliwaiweka hapa jamvini nipe link niipitie.ni wanyama tulio pandikizwa kutoka katika utawala wa lyrans humanoids,...
Mkuu leo ni mara 2 katika koment zako ninapata kitu kigeni ambacho nashindwa nianzie wapi kukifuatilia.Hao jamaa japo sifahamu majina yao halisi ila nina hakika ndio waletao kizungumkuti cha dini na maarifa mengi
Ndio waanzilishi wa dini za kiabrahamu nikiwa na maana ya uyahudi,ukristo na uislamu
Vitabu vya dini hizo ukivisoma bila wenge la kutafsiriwa maana na wanaojiita marabi unatoka na bonge la picha
Tena ukienda kuongezea na vedas za kihindu bila kusahau Tao teaching lazima uwe Guru
Mkuu leo ni mara 2 katika koment zako ninapata kitu kigeni ambacho nashindwa nianzie wapi kukifuatilia.
Last year nilikutana na koment yko yenye taswila ya namna hii, ninajaribu kuunagisha dot napata hisia kwamba kuna ABCD za kitu flani unazijua ila hupendagi tu kuanzisha nyuzi za kuelezea hizo mambo.
Nikitulia nitaku- PM.
NAPENDA SANA ELIMU MPYA KATIKA MAISHA YANGU.
Nimekuelewa mkuu.Mkuu hakuna ninachofahamu kwa undani_usijisumbue
Ila huwa napendelea kuweka ufahamu wangu Katika hali ya utupu wa fikra hivyo kuniwezesha kupokea taarifa tofauti tofauti bila kuwekea mipaka na kuzipangilia
Sera ya ufahamu wangu ni kuunga Doti, napenda udadisi na napenda kuambukiza mtu mwengine udadisi
Ufahamu wangu ni kama wa mtoto na natumia ile ability ya kuwa Empathy kuelewa mambo mengi kwa mapana
Hakuna kumbukumbu ninayoweka kwa kudhamiria kila kilochopo kwenye ufahamu wangu kinajiweka chenyewe mimi nashangaa tu nakumbuka
So Katika hali kama hii siwezi fundisha mtu labda kuamsha udadisi tu_ndilo ninaloweza
Muheshimwa umenifikirisha sana! Sisi pia ni aina ya funza out of somethingJibu maswali haya kwanza :