Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,425
Lazima wabishe tena kubishana nao ni tabu sana bora kunyamaza kila mtu ajue na kuamini chake.Nilikuja kwa mfumo wa kuelezea dunia haitabiriki umbo lake, na wengi walikataa. Ndio nikajuwa tayari waliokaririshwa vimekaa vichwani mwao.
Na kwa kuongezea,
Hapo kale kulikuwa na species nyingi za homo na wakati Homo sapiens akitokea ali co exist pamoja na species nyingine kama neanderthals huko Ulaya. Kwa ufupi zamani kulikuwa na species nyingi sana za binadamu.
Presently kuna species moja tu ya binadamu duniani kote ambayo ni Sapiens. Hizo species nyingine zilivyotoweka kabisa kwenye uso wa dunia mimi na wewe hatufahamu. Hakuna anayefahamu.
binadamu kaumbwa na mungu ndio jibu ushahid huo wa fuvu sasa jiulize fuvu limetoka wapi na kama ni revolution je baada ya sisi binadamu watakuja binadanu wa aina gani, na mapepo na mashetani walitoka wapi hili nj jibu tosha kwamba ni mungu ndie aliyeumba kila kituKatika nadhalia ya Dini kwamba binadamu katokana na Adam na Hawa hii haingii hakilini kwangu kwanini kuwepo matabaka ya rangi na kuwepo na jamii tofauti kwanini tusiwe wa rangi moja kama ni weupe au uweusi haiwezekani mzungu akazaa mtoto mweusi au Mwafrika azae mtoto mzungu.
Nadhalia ya pili kwamba binadamu katokana mabadiliko ya kimaumbile hii ina mashiko kiasi kikubwa nikichukua ushahidi wa fuvu la kale pale Olduvai gorge ni wazi binadamu kapitia katika hatua mbali mbali mpaka kuwa binadamu kamili..
Haya ni mawazo ya kivivu na ndio maana Africa hatuna maendeleobinadamu kaumbwa na mungu ndio jibu ushahid huo wa fuvu sasa jiulize fuvu limetoka wapi na kama ni revolution je baada ya sisi binadamu watakuja binadanu wa aina gani, na mapepo na mashetani walitoka wapi hili nj jibu tosha kwamba ni mungu ndie aliyeumba kila kitu
hebu connect hoja ya kuumbwa mungu na mafanikio ya afrika tuone kama kuna connectio dont be stupidHaya ni mawazo ya kivivu na ndio maana Africa hatuna maendeleo
Kila Jambo kumuachia Mungu bila kuumiza kichwa na upumbavu ,wakati wenzetu wanapambana kutafuta solution sisi Tutamuachia Mungu ndio maana kila siku Africa tunabaki nyuma kwa ajili ya watu Kama wewe.Lengo la uzi ni tujadiliane kwa Mapana tukitafuta source mbalimbali na kutumia logical ideas kutambua ukweli lakina kwa ubashite wako ushaamua kumuachia Mungu uani uzi ufungwehebu connect hoja ya kuumbwa mungu na mafanikio ya afrika tuone kama kuna connectio dont be stupid
Mungu gani mkuu,asie na uwepo huyo.binadamu kaumbwa na mungu ndio jibu ushahid huo wa fuvu sasa jiulize fuvu limetoka wapi na kama ni revolution je baada ya sisi binadamu watakuja binadanu wa aina gani, na mapepo na mashetani walitoka wapi hili nj jibu tosha kwamba ni mungu ndie aliyeumba kila kitu
Kila Jambo kumuachia Mungu bila kuumiza kichwa na upumbavu ,wakati wenzetu wanapambana kutafuta solution sisi Tutamuachia Mungu ndio maana kila siku Africa tunabaki nyuma kwa ajili ya watu Kama wewe.Lengo la uzi ni tujadiliane kwa Mapana tukitafuta source mbalimbali na kutumia logical ideas kutambua ukweli lakina kwa ubashite wako ushaamua kumuachia Mungu uani uzi ufungwe
fisrt af all hakuna mtu anayemwachia mungu kila kitu..ndio maana wewe hapo una aamka kwenda kazini na kutafuta na kuijipatia kipato na mungu na uwepo wa mungu ni imani kwahiyo hakuna muingiliano kati ya kutafuta suluhisho ya mambo ya kijamii na mungu ni sis wenyewe bina adamu amabao tunakataa kufany akazi na kusingizia kwamba kuamini mungu yupo ndi kunaturudisha nyuma...kwa mfano hakuna mtu alaiyekatazwa kuhataza hata wewe kuatafuta solution ya kitu chochote duniai hapa kisa kuamini kama mungu yupo na hata huyo huyo mungu katika maanadiko yake alisema tusome , tujifumze na tufanye kazi kuhusu suala la wazungu kututangulia kitechnology ni wenzetu wanasaidiana wanainua vipaji na wanjicommit kuhusu kitu wanachokifanya sis waaafrika we are very good at sitting back and colmpalining about how people their do things,....wamarekani wanapeleka vyombo mwezin je kuna uhusiano kati ya mungu na uafrika na hiyo invention....fikiri kabla ya kuongea fanya kazi na usolve matatizo yakoKila Jambo kumuachia Mungu bila kuumiza kichwa na upumbavu ,wakati wenzetu wanapambana kutafuta solution sisi Tutamuachia Mungu ndio maana kila siku Africa tunabaki nyuma kwa ajili ya watu Kama wewe.Lengo la uzi ni tujadiliane kwa Mapana tukitafuta source mbalimbali na kutumia logical ideas kutambua ukweli lakina kwa ubashite wako ushaamua kumuachia Mungu uani uzi ufungwe
kama waafrika tungalikua tunamuachia mungu mbona bado kuna madaktari ma engeneer na kina dangote ni waafrika na wanamaendeleo its the matter of thinking na kuelewa jinsi ya kutofautisha wapi na nini cha kufanya kwa muda upuKila Jambo kumuachia Mungu bila kuumiza kichwa na upumbavu ,wakati wenzetu wanapambana kutafuta solution sisi Tutamuachia Mungu ndio maana kila siku Africa tunabaki nyuma kwa ajili ya watu Kama wewe.Lengo la uzi ni tujadiliane kwa Mapana tukitafuta source mbalimbali na kutumia logical ideas kutambua ukweli lakina kwa ubashite wako ushaamua kumuachia Mungu uani uzi ufungwe
kitu cha kwanza mkuu katika haya mambo ni imani kama una amini yupo ndicho uatakacho amini na kama huamini pia si mbaya...thats way ikaitwa imani, mimi nina imani kwa sababu zipo na piaMungu gani mkuu,asie na uwepo huyo.
Unapoona ni upuuzi kuamini kisichopo unashikilia imani au sio?kitu cha kwanza mkuu katika haya mambo ni imani kama una amini yupo ndicho uatakacho amini na kama huamini pia si mbaya...thats way ikaitwa imani, mimi nina imani kwa sababu zipo na pia
sio upuuzi kila mtu anasababu za kuamini pia ukitaka kusoma fuatilia vizuri theory za evolution za kila kitu amabcho kipo dunia na ulimwenguni kuna sehemu zia fail na kusema there is naturally occuring power..ambaye ndie munguUnapoona ni upuuzi kuamini kisichopo unashikilia imani au sio?
Mungu yupi huyo mkuu nimuone basi waki au wa kiume je anaumbo kubwa au dg je nae ana baba na mama walio mzaa??sio upuuzi kila mtu anasababu za kuamini pia ukitaka kusoma fuatilia vizuri theory za evolution za kila kitu amabcho kipo dunia na ulimwenguni kuna sehemu zia fail na kusema there is naturally occuring power..ambaye ndie mungu
thats is called an existing power and requires belief to beleive in...mkuu naamini ushawahi kukutana na vitabu vingi vinavoelezea theory za mtu kuwepo na kutokea amabavyo vinaonesha life is an evolution process kama ndivyo evolutio is an ongonig process je ushawahi kuuliza kitu kinachofuat baada yetu sisi binadamu wa leo hii kama inavo semekana zamani kulikua na bacteria ndio wakawa binadmu au chemicals, au kwanini hizo chemical haziendelei kudevelop na kuwa wayama au viumbe wenginne na kama ndivyo je kuna wanyama ambao watatokea baada yetu sisi...maana wanasema kulikua na chemical, ikawa cell ,ikawa molecule na kua mnyama,,,what next aboaut us.....thats why wakaita theory maana yake yakufikirikaMungu yupi huyo mkuu nimuone basi waki au wa kiume je anaumbo kubwa au dg je nae ana baba na mama walio mzaa??
if is that then why they are no any human being from non living matters anymore ?Ukitaka kijua binadam/maisha yametokea wapi chimba shimo/ kibwawa, jaza maji uyaache yakae kama mwaka mmoja.
* ukienda kuangalia baada ya mwaka utawakuta samaki pamoja na viumbe ambao huwezi ukaelezea wametoka wapi.
Hiyo ndo inaitwa
SPONTANEOUS GENERATION THEORY.
Theory ambayo inasema
''Life arose from non living matter"
-the non living matter told includes mad and manure.
This z the theory which describes the origin of life that man arose from non living matter with thatconvincing proof
That z evolution buddy!if is that then why they are no any human being from non living matters anymore ?
Ukisema Bin Adam - Binadamu - maana yake mtoto wa Adam sasa mtoto wa Adam anatokana na nani?Katika nadhalia ya Dini kwamba binadamu katokana na Adam na Hawa hii haingii hakilini kwangu kwanini kuwepo matabaka ya rangi na kuwepo na jamii tofauti kwanini tusiwe wa rangi moja kama ni weupe au uweusi haiwezekani mzungu akazaa mtoto mweusi au Mwafrika azae mtoto mzungu.
Nadhalia ya pili kwamba binadamu katokana mabadiliko ya kimaumbile hii ina mashiko kiasi kikubwa nikichukua ushahidi wa fuvu la kale pale Olduvai gorge ni wazi binadamu kapitia katika hatua mbali mbali mpaka kuwa binadamu kamili..
Ukitaka kijua binadam/maisha yametokea wapi chimba shimo/ kibwawa, jaza maji uyaache yakae kama mwaka mmoja.
* ukienda kuangalia baada ya mwaka utawakuta samaki pamoja na viumbe ambao huwezi ukaelezea wametoka wapi.
Hiyo ndo inaitwa
SPONTANEOUS GENERATION THEORY.
Theory ambayo inasema
''Life arose from non living matter"
-the non living matter told includes mad and manure.
This z the theory which describes the origin of life that man arose from non living matter with thatconvincing proof
than whats wrong with these chimpanzee and gorrilas still not be ableto became uman beings and i was thinking maybe now they will be more of than human being form the gorillasThat z evolution buddy!
Evolution takes millions of of years, it experiences gradual changes.
You cant witness it with yr eyes.
How are u gonna witness evolution taking100millions yrs while yr life span z 45 yrs?.