ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,654
- 57,045
Mlipofukuzwa kule mkaletwa huku, subirini sana mpaka msamehewe. Hakuna msamaha wa rais wala bodi ya parol.Kwaiyo mkuu una maana Mungu kawatelekeza huku duniani au sio..!?
Historia hizi ni kujifariji/sarakasi a.ka panadol tu, hakuna jibu humo.Hao jamaa japo sifahamu majina yao halisi ila nina hakika ndio waletao kizungumkuti cha dini na maarifa mengi
Ndio waanzilishi wa dini za kiabrahamu nikiwa na maana ya uyahudi,ukristo na uislamu
Vitabu vya dini hizo ukivisoma bila wenge la kutafsiriwa maana na wanaojiita marabi unatoka na bonge la picha
Tena ukienda kuongezea na vedas za kihindu bila kusahau Tao teaching lazima uwe Guru
Hakuna jibu kwenye biblia au wapi..?Historia hizi ni kujifariji/sarakasi a.ka panadol tu, hakuna jibu humo.
Hakuna lengo wewe ishi tu inatoshaKwanza tujuwe lengo hasa la kuja duniani ni nini?
We unajua vipi kuwa tunajifariji..?Historia hizi ni kujifariji/sarakasi a.ka panadol tu, hakuna jibu humo.
Fumba macho kisha jiulize kile ambacho nafsi ingependa kukifahamu kwa wakiti huo_ kisha timiza hilo hitajiIshu kubwa ya ku discuss Ni tuyatumiaje vizuri maisha yetu
You dont need to write in foreign language to prove your point .Hakuna lengo wewe ishi tu inatosha
Is you seek for God huge parpose your definitely loooser
Nadhani wazo hili umelipata baada ya kusoma bibliaBinadamu ndiye shetani, aliyefukuzwa huko mbinguni, ila kwa ubishi na kujitetea hakuna apendaye na kukubali yeye kuwa ni shetani.
Tumekuwa kama watoto akifanya kosa hutafuta visingizio, hakuna historia ya kweli ni visingizio. Tukubali sisi ndiye kizazi cha LUCIFER.
Kwa wewe upo kuchunguza grammarYou dont need to write in foreign language to prove your point .
Sasa tazama unavyotuabisha watanzania.
Kwaiyo kwa mwanamke kula udongo ndio hitimisho la asili ya watu...!?Binadamu aliumbwa na Mungu kwa kutumia udongo. Ushahidi wake upo wazi saana. Angalieni idadi kubwa ya wanawake wajawazito Mara nyingi hupenda kutafuna udongo wawapo katika hali hiyo na wanapokaribia kujifungua huacha. Hii hudhihirisha kuwa udongo ni malighafi muhimu ktk uumbaji Wa kiumbe kipya (binadamu). Ningependa mjadala huu ufungwe, maana tunaweza kutafuta reference za kila aina lakini ukweli halisi ni huu. Nawasilisha.
Hakuna lengo wewe ishi tu inatosha
Is you seek for God huge parpose your definitely loooser
Hii pia unaita grammar issue.Kwa wewe upo kuchunguza grammar
Kaa hapo hapo na mdole wako kichwani
Umeshiba daku..?Hii pia unaita grammar issue..
Unaweza kutwambia ulikuwa una maana gani ktk hio sentence boss man.
kila kitu ni mipango na maendeleo ya kitengenezwacho ulimwengu ni mkubwa usio fahamika ukomo wake hata dunia ni kubwa isiyofahamika ukomo wake mbali na kudangangwa kwa c.g.i umbo sahihi la dunia,mpka leo haijulikani iko vipi...viumbe ni vingiHao jamaa japo sifahamu majina yao halisi ila nina hakika ndio waletao kizungumkuti cha dini na maarifa mengi
Ndio waanzilishi wa dini za kiabrahamu nikiwa na maana ya uyahudi,ukristo na uislamu
Vitabu vya dini hizo ukivisoma bila wenge la kutafsiriwa maana na wanaojiita marabi unatoka na bonge la picha
Tena ukienda kuongezea na vedas za kihindu bila kusahau Tao teaching lazima uwe Guru
Nilikuja kwa mfumo wa kuelezea dunia haitabiriki umbo lake, na wengi walikataa. Ndio nikajuwa tayari waliokaririshwa vimekaa vichwani mwao.kila kitu ni mipango na maendeleo ya kitengenezwacho ulimwengu ni mkubwa usio fahamika ukomo wake hata dunia ni kubwa isiyofahamika ukomo wake mbali na kudangangwa kwa c.g.i umbo sahihi la dunia,mpka leo haijulikani iko vipi...viumbe ni vingi
Mionekano yao ya kimaumbile ni mingi zaidi ya vilivyomo na uvifikiliavyo ulimwengu hautasiminiki wala kufikirika bali ni mabadiliko tu ya kimaendeleo ndio yanayo tusogeza angalau hatua moja mpka nyingine....
Wanyama aina yetu human homo tulipandikizwa kwa muda uliopo kama huu na tunazidi kuwa na maboresho ya ukuaji wetu kimbinu za upambanuaji mambo ilihali waliotuumba wamekuwa mafichoni,na haifahamiki kama wamejificha au wanatufuatilia kwa ukaribu zaidi..
maisha yetu ni mithili mtihani fulani ambao hao wataalamu wetu wapo nao katika majaribio yao,na ndio maana tuko ili zoezi lao likamilike atupo ili tudumu....kuna machache ambayo unaweza ukajitoa na ukadumu ila hauko ili udumu bali kukamilisha zoezi....