Mkuu naona hizi rangi za mikona ni kama kitandaweli sasa ni tajaribu kutenguwa naanza ya 1 ni akili na uvumbuzi 2 biashara na pesa 3 sonara na mtoni 4 chotara na vichupa vya uhai 5 bahari na mvuvi 6 kidumbak na chebuku na dem na bangi sasa hapo amezidi vitu vingini yule wa sita ina maana huyu ana bahati ya kuzaliwa na tumpongezee kwa hiyo bahati yake