Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,688
- 1,282
kuna kitu kitaaluma kinaitwa "BLACKOUT PROJECT" hii inatumika kwenye sekta ya uandish kama njia ya kuwazuga watu kutoka kufikiria jambo fulan muhim na ku divert mind zao kwenye jambo lingine..sasa hawa kina BIN ZUBEIRY Ndo Agents wa hii project..wanakuwa paid monthly kwa kutoandka madudu na ufisadi ili wananch walale.wewe huwez kuwa mwanahabar wa michezo uliyetimia ukashindwa kuona uharamu wa timu kumshawish mchezaji aliye ndani ya mkataba na timu nyingine?let alone Yondan,kuna Ishu ya Kapombe,Ngassa,OKWi wote wamethbitisha kufuatwa na viongoz wa Yanga wakat wanamikataba halali na SIMBA,he still attack on Rage..leaving behind oll these fu***ckn tricks wanacheza viongoz wa Yanga.UKWELI NI HIVI BIN ZUBEIRY ANAJUA ANACHOFANYA SABABU YUPO KWA AJILI YA WATU FLANI FLANI AMBAO WANAMFANYA AVIMBE TUMBO KISHA AENDE CHOONI.
mimi nilisema janahapa huyu jamaa anaandika kinazi sana, akatokea mtoto hapa anaitwa Anselm nae ana u majununi uleule akaanza kumtetea, lakini haina shida wanawatumkia mabwana zao waliowatuma
Hii ni moja ya sababu inayonifanya nimkubali sana huyu (Jamaa Bin Kleb),the guy is so intelligent.
Kwanini tumemsajili Pascal Ochieng na Ivory Coast... ni kwasababu Twite mmetuhujumu na ili tuweze kuendelea kuwabana ni lazima tuache nafasi moja yaani tutapeleaka jina la Twite na Kelvin..wewe subiri hii ngoma bado sana acha unazi, halafu hatuku wahi kuambiwa tuta pata billion 3.Kuna taarifa za Simba kumsajili mu ivory coast na mkenya pascal ochieng na imemuacha Danny mrwanda na Kanu Mbiyavanga leo.Je TFF ilisogeza mbele siku kwa ku favour Yanga peke yao?Simba waangalie vizur ndan ya club yao ndo kuna mchawi!mliambiwa Okwi amefuzu majaribio mtapata tsh 3 billion wakat hata uwanjan hakukanyaga.
Kwanini tumemsajili Pascal Ochieng na Ivory Coast... ni kwasababu Twite mmetuhujumu na ili tuweze kuendelea kuwabana ni lazima tuache nafasi moja yaani tutapeleaka jina la Twite na Kelvin..wewe subiri hii ngoma bado sana acha unazi, halafu hatuku wahi kuambiwa tuta pata billion 3.
simba msilalamike haya mambo hata ulaya yapo..duh ila mzee wenu anajua kulia.!!
Kwanini tumemsajili Pascal Ochieng na Ivory Coast... ni kwasababu Twite mmetuhujumu na ili tuweze kuendelea kuwabana ni lazima tuache nafasi moja yaani tutapeleaka jina la Twite na Kelvin..wewe subiri hii ngoma bado sana acha unazi, halafu hatuku wahi kuambiwa tuta pata billion 3.
Kuna taarifa za Simba kumsajili mu ivory coast na mkenya pascal ochieng na imemuacha Danny mrwanda na Kanu Mbiyavanga leo.Je TFF ilisogeza mbele siku kwa ku favour Yanga peke yao?Simba waangalie vizur ndan ya club yao ndo kuna mchawi!mliambiwa Okwi amefuzu majaribio mtapata tsh 3 billion wakat hata uwanjan hakukanyaga.