Bin Laden Shoot To Kill (Documentary film)

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,647
Points
1,250

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
11,647 1,250
A stellar cast of White House insiders speak on camera about the operation to find and kill Osama Bin Laden, including the first - and extraordinary - documentary interview with President Barack Obama on the subject.

From the anxiety-drenched minutes in the White House Situation Room to the deadly stairwells of Bin Laden's secret labyrinth, cinematic dramatisations take viewers deep inside one of the most important moments of our era, showing the US Navy Seals coming face to face with the most wanted man in history.

Based on high-level CIA and White House briefings, and packed with exclusive stories and fresh insights, the film reveals that President Obama received a downbeat last-minute intelligence assessment, which caused many of his senior advisors to turn against the operation.

channel4

Nilicho ona:


  • Naiangalia hapa hii Ducumentary, imeanza saa tatu usiku kwa saa za uku nilipo, wanaonyesha jinsi walivyovamia nyumba inayosemekana ndio OBL, akiishi.

  • Wameuwa watu kadhaa, wakiwemo wanawake, na wameonyeshwa sura zao, ila pale wanapoonyesha kum shoot mtu anayesemekana ndio OBL, ni kiza sana uwezi kumtambua...!

  • Maiti inapigwa picha ila sura haionekani, just kidevu na ndevu tu...!

  • Maiti inachukuliwa na kupelekwa kusiko julikana, uku nyuma sehemu ya jengo linalipuliwa.

  • Wamefika Arabian see, ndani ya meli kubwa ya kivita inaonekana maiti imelazwa kwa uchunguzi wa DNA, pamoja kuchukukiwa vipimo vya sura yake.

  • DNA inasemekana inachukuwa saa nane mpaka kupata matokeo, ila uongozi White House wanalazimika kutangaza kuuwawa kwa Bin Laden.

  • Obama anawatangazia Wamarekani kuuwawa kwa OBL, bila ya kupata matokeo ya DNA, wanaonyesha watu wakishangilia.

  • Baada ya Masaa nane matokeo ya DNA yanaeleza kuwa aliye uwawa ni OBL.

  • Inaonyeshwa maiti ikioshwa na kusaliwa na mtu mmoja, ila sura ya OBL, bado kuonyeshwa... chumba cha maiti yupo mtu mmoja tu ndio anaonekana kuuosha mwili wa anayesemekana kuwa ni OBL.

  • Maiti imevishwa sanda nyeupe, muoshaji anaondoka na Documentary inaisha.

NB:
Nadhani kuna ambao watakuwa wame record na kuirusha hii Documentry uko youtube, tuisubirie muda si mrefu itakuwa hewani.
 

Prodigal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2009
Messages
992
Points
250

Prodigal Son

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2009
992 250
Mkuu
Huyu bwana kwa sasa hayupo tena duniani kinachoendelea sasa ni propaganda tu hakuna lingine

kwa sie ambao tumepitia maeneo ya vita ndio tunajua ni kwanini wamarekani hawakuonyesha sura yake. kama umeshabahatika kuona Mtu ambaye amepigwa risasi ya kichwa au usoni usingetamani kuona uso wa OSAMA, jamaa alipigwa risasi ya uso n awangeonyesha picha yake kwanza wangekuwa hawajautendea haki huo mwili na pia wangeweza amsha hasira za wafuasi wake,, osama na kundi lake sasa ishakuwa historia labda ajitokeza mtu mwingine anzishe kundi lingine na hii itachukua muda saana

cha msingi tupiganie dunia yenye haki, amani na maelewano, tukumbuke dini sio kigezo cha kumfikisha mtu kwa Mungu bali ni matendo yetu ndio yatatufikisha kwa Muumba
 

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,647
Points
1,250

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
11,647 1,250
Mkuu
Huyu bwana kwa sasa hayupo tena duniani kinachoendelea sasa ni propaganda tu hakuna lingine

kwa sie ambao tumepitia maeneo ya vita ndio tunajua ni kwanini wamarekani hawakuonyesha sura yake. kama umeshabahatika kuona Mtu ambaye amepigwa risasi ya kichwa au usoni usingetamani kuona uso wa OSAMA, jamaa alipigwa risasi ya uso n awangeonyesha picha yake kwanza wangekuwa hawajautendea haki huo mwili na pia wangeweza amsha hasira za wafuasi wake,, osama na kundi lake sasa ishakuwa historia labda ajitokeza mtu mwingine anzishe kundi lingine na hii itachukua muda saana

cha msingi tupiganie dunia yenye haki, amani na maelewano, tukumbuke dini sio kigezo cha kumfikisha mtu kwa Mungu bali ni matendo yetu ndio yatatufikisha kwa Muumba
Mkuu, kwa mujibu wa maelezo ya hiyo Documentary, na picha ya hiyo filamu, hakupigwa risasi ya kichwa, zimepigwa risasi mbili tu, kifuani...! Maiti inaonyweshwa kichwa akija furugika, ila camera inakwepeshwa kuonyesha sura.

Ikitoka youtube, utaona tu kaka, just fanya subra.

Ila nasikia jamaa alishakufa since 2001, kwa ugojwa wa figo.
 

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,647
Points
1,250

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
11,647 1,250
[/LIST]
Oh! Wametoa mapema .. kama ilisemekana wangeitoa wakati wa kampenzi za Urasi zikianza...

@ Blue ... Ni kweli uso wa jeraha la risasi..very hypnotic ...better that way!!
Mkuu, hakupigwa risasi ya uso.

Nadhani wametoa hii, as a gift to 9/11 victims.
 

Forum statistics

Threads 1,391,784
Members 528,461
Posts 34,088,923
Top