Production cost..we umeona kama nina akili kuliko hao ila hao wanafahamu kitu inaitwa production cost ...mfano kwenye audi A4 kuns body tatu nadhani kuna engine zaidi ya sita sasa speedo wanatengenezewa cost ya kudizain kila gari na speedo yake ni kubwa yani ya 1.9l speedo yake ya 3 na point nayo tuweke speedo yake ..no haifai ..ndo mana speedo zinalingana from 1.9L all the way to 4.2L v8 speedo ni sawa ...sasa we hujiongezi gari ya 1.9L ifike top speed na 4.2L kwamba zote zinaishia labda 260kphUna akili kuliko Engineers wote wa VW ?
Labda una kiwanda chako cha magari hivo umetupa namna kiwanda chenu kinaanza ku rate2.5l ni engine ndogo. Haina utofauti wowote na 2l kwenye kila kitu, fuel consumption, mantainance n.k.
3.5l ndo mwanzo wa engine kubwa.
Sio sawa..2.5l ni engine ndogo. Haina utofauti wowote na 2l kwenye kila kitu, fuel consumption, mantainance n.k.
3.5l ndo mwanzo wa engine kubwa.
Ahhh aisee kuna vitu ni sawa na vingine sio sawa..Samsung ana flagship, mid range na low end phones wakati Apple hana.
Toyota ana flagship, mid range na low end cars wakati Porsche hana.
Ni jinsi kampuni husika imeamua kujiweka kwa wateja wake.
Engine ndogo ni rahisi kuzitumia na kuzimantain kuliko engine kubwa. Hii ipo dunia nzima.
Ndo maana ni rahisi kwa serikali kununua 5l lc200 wakati magari yao binafsi wanaishia 3l.
1.9l inafuta 260 kama kumfukuza mlevi hasa kwa gari za muzunguProduction cost..we umeona kama nina akili kuliko hao ila hao wanafahamu kitu inaitwa production cost ...mfano kwenye audi A4 kuns body tatu nadhani kuna engine zaidi ya sita sasa speedo wanatengenezewa cost ya kudizain kila gari na speedo yake ni kubwa yani ya 1.9l speedo yake ya 3 na point nayo tuweke speedo yake ..no haifai ..ndo mana speedo zinalingana from 1.9L all the way to 4.2L v8 speedo ni sawa ...sasa we hujiongezi gari ya 1.9L ifike top speed na 4.2L kwamba zote zinaishia labda 260kph
Kwa hio horsepower za germany na japan ni tofauti1.9l inafuta 260 kama kumfukuza mlevi hasa kwa gari za muzungu
Unaongelea oil change ya 3000km wakati kila siku kuna fuel bills?Ahhh aisee kuna vitu ni sawa na vingine sio sawa..
1. Apple alishatoa low end phones..
2. Engine ndogo sio lazima iwe rahisi kuimaintain..
View attachment 2035857View attachment 2035858explain hapo..!!!?
Aisee mafuta ni maintainance..!!!? Dalalada ndio gari well maintained nchi nzima.. Zinaingia sheli kila siku..!!! Kila siku zinakuwa maintained..!Unaongelea oil change ya 3000km wakati kila siku kuna fuel bills?
Na oil change inayoweza kurange between 80k mpaka 150k ambayo ni almost full tank moja unaloweza tumia ndani ya week 1 au 2?
😁😁 Nani amekwambia ina torque ndogo ..imepataje hizo hp tena zaidi ya 1hz afu iwe na torque ndogo?
Hii waulize wajapani.... Huenda HP zao miyeyusho.Kwa hio horsepower za germany na japan ni tofauti
wapi nimesema HP za german na japan zina tofauti 🙄🙄Kwa hio horsepower za germany na japan ni tofauti
Mi hata sielewi😅 kuna kitu gani special kwa yule jamaa hadi wananifananisha nae?
Jamaa anazungumzia 2.5L kizembe! Hizo engine ni powerful aisee ziwe N/A ama Turborcharged huwa zina power.Sio sawa..
BMW M50b20 vs M50b25 ni day n night..!!
Duuuh 3.5lts..!!!?
Toyota JZ
Nissan RB
Subaru EJ
Hizo zote engines moto na zinaanza hapo 2.5..!!!
Aisee mafuta ni maintainance..!!!? Dalalada ndio gari well maintained nchi nzima.. Zinaingia sheli kila siku..!!! Kila siku zinakuwa maintained..!
Kubadilisha engine parts sio sawa na kujaza mafuta..!
Gari ndogo inayofanya ruti za Uber.. Ikajaza mafuta ya 10k kwa wiki.. Toyota Landcruiser inayotoka Wikiendi.. Ikajaza mafuta ya 2k kwa wiki..Gari ndogo ni gharama kumaintain!!!?
Plus sio lazima engine ndogo kutumia mafuta kidogo kuliko engine kubwa..!!!
Ahhh ok.. Sasa zile number Ds.. V8s.. Harries.. Vanguards ulizosema zipo juu ya mawe wamiliki wake wameshindwa bei ya mafuta wakaamua wazipandishe juu ya mawe!!!!?Hujapata logic bado.
Nimekwambia maintanance ni small part of car ownership.
Engine kubwa unabadili oil kila baada ya km nyingi, engine ndogo unabadili oil kila baada ya km chache.
Ila kiuhalisia trade off kubwa inakuja kwenye fuel consumption.
Hahahahahahah watu wanataka unafuu kwenye maintanance maana ni kazi yako kama mmiliki!Ahhh ok.. Sasa zile number Ds.. V8s.. Harries.. Vanguards ulizosema zipo juu ya mawe wamiliki wake wameshindwa bei ya mafuta wakaamua wazipandishe juu ya mawe!!!!?
Aisee usione watu wanakimbilia Toyota.. Sio kwamba haitumii mafuta.. Sio kwamba hakuna gari za mzungu zinakula mafuta kidogo zaidi ya Toyota.. Watu wanakimbilia reliability.. Kutengeneza gari ni gharama zaidi unavyowaza..!
Kwenda petrol station hata mnunuaji wa kerosene anaenda ila garage huendi kama hutumii petrol au diesel..!
2.5l natural aspirated haina maajabu yeyote. Mostly zina 160-170hp.Aisee 2.5 ya petrol imeshiba horsepower za kutosha..!
Inategemea unaharibu nini, kumwaga oil sio sababu ya kupandisha gari juu ya mawe. Kukiwa na serious repair na huna hela hapo ndo shida inaanzia.Ahhh ok.. Sasa zile number Ds.. V8s.. Harries.. Vanguards ulizosema zipo juu ya mawe wamiliki wake wameshindwa bei ya mafuta wakaamua wazipandishe juu ya mawe!!!!?
Aisee usione watu wanakimbilia Toyota.. Sio kwamba haitumii mafuta.. Sio kwamba hakuna gari za mzungu zinakula mafuta kidogo zaidi ya Toyota.. Watu wanakimbilia reliability.. Kutengeneza gari ni gharama zaidi unavyowaza..!
Kwenda petrol station hata mnunuaji wa kerosene anaenda ila garage huendi kama hutumii petrol au diesel..!
Hizo power figures za 2.0lts..1G..3M..!2.5l natural aspirated haina maajabu yeyote. Mostly zina 160-170hp.
2.5l turbo charged ndo zinaanza kuonyesha maajabu. Zinatoa mpaka 400hp.
2l &2.5l fuel consumption utofauti wake ni mdogo sana.