Bima za Magari

Bima za Magari

Loh baiskeli wanakta percent ngapi???
 
Tatizo jingine la Watu wengi hawasomi 'terms' zilizoko kwenye mikataba yao ya bima (policy). Lakini ni vyema mtu kupitia kwa Broker anayeheshimika, wao ni rahisi sana kufuatilia madai yako.
Kweli mkuu yaani kuna watu wengi sana haki zao zinapotea kwa kupenda kukata bima kama mazoea, pia kuna wengi sana wanapigwa hasa kwa wale wanaopata ajali kwenye buses maana magari yote ya abiria yanakatiwa bima kubwa kutokana na idadi ya abiria lakini tunasisitizwa kufunga mkanda na kama gari inakwenda speed au kukiuka taratibu za usafiri tutoe taarifa lakini hatuambiwi endapo utapata ajali kuna taratibu za flani za kufuata (au kwa kuwa ajali ni dharula na inatokea sehemu ambayo hakuna ndugu kungewekwa utaratibu wa serikali kusimamia zoezi mara baada ya ajali kutokea na si huu utaratibu wa mmoja mmoja kufuatilia). Na ukiona bima imelipwa haraka haraka ujue huyo ni mtu maarufu sasa wanatumia mwanya huyo kujitangaza kibiashara)
 
Back
Top Bottom