assurance insurance
New Member
- Sep 25, 2026
- 2
- 0
BIMA YA MAISHA NI NINI
Bima ya maisha ni mkataba kati ya mteja ( mteja binafsi au kampuni ) na kampuni ya bima ya maisha , ambapo mteja Kwa kulipa ada kidogo kidogo au Kwa mkupuo , anafidiwa ( kulingana na thamani ya bima ) endapo atapatwa na janga ( kifo au ajali ya kudumu ) ndani ya muda wa mkataba au kulipwa akiba pamoja na faida endapo atamaliza muda wa mkataba
02 FAIDA YA BIMA YA MAISHA
Faida ya bima ya maisha ni
Kutimiza matarajio ya mteja( ya kifedha Kwa kujiwekea akiba kidogo kidogo) endapo atamaliza muda wake wa mkataba ,
Kutimiza matarajio ya wategemezi wa mteja kama elimu, kujikimu, nk endapo atapatwa na janga kabla ya kumaliza mkataba
03) BIMA YA MAISHA INATOFAUTI GANI NA HUDUMA ZINGINE ZA KIFEDHA ?
Bima ya maisha inatofauti kubwa mbili
Inalinda na kuboresha maslahi na maendeleo ya wategemezi wa mteja wakati huduma zingine zinamlenga na kumnufaisha mteja pekee
Inadhamini ( guarantee) thamani halisi ya mafao ( sum assured) pasipo kujali kiasi Cha michango ya mteja au muda wa kuchangia
4 ) BIDHA ZA BIMA YA MAISHA
Bima ya maisha ya majaliwa
Bima ya maisha ya malengo
Bima ya maisha ya majaliwa
Hii ni bima ya miaka mi 5 mpaka 15 ada ya bima inategemea umri wa mteja na miaka anayokata bima
MAFAO YA KIFO NI YAPIB
Mafao ya kifo ni 100 %ya thamani ya bima , endapo kifo kitatokea kati ya Mwezi 1 mpaka miezi 180
SIFA ZA KUJIUNGA
Awe na umri wa miaka 18 Hadi 60