Nope insurance ni kujikinga / kujitayarisha na inevitability i.e. safety net ni kitu muhimu sana...Insurance is a form of lottery. It is a form of betting. It is gambling. It is acceptable anyway... Ni utapeli uliokubalika.
Nzengo inakusafirisha kutoka ulipo mpaka unapokwenda ? Kama ndivyo ni sawa ila nishaona mengi yanatokea nyie marafiki au wa karibu inabidi kuokoa jahazi.., sasa kuliko utake watu wa karibu yako waje kuokoa jahazi sio vibaya wewe kama wewe ukahakikisha inevitability yako haisumbui jahazi na sio lazima yote itumike kukuzika sio mbaya ikiwasaidia kununulia kachumvi hao wananzengo...,Misiba sio mzigo kwa familia wala jamii ikiwa jamii mnaishi kama wanadamu na sio wanyama. Jamii zetu zina mifumo ya kijamii ambayo husaidia kipindi cha misiba mfano NZENGO. Tatizo ni pale tunapocomplicate mambo na kutaka Msiba uwe kama sherehe ya harusi.
Kwa hii its good business kwao na nadhani watatoa / wanatoa baada ya kuhakikisha kifo hicho kimetokea (vibali n.k.) kwahio huenda itabidi utumie zako na baadae ndugu zako waende ili zirudishwe.... (Kwa wao kutokulipa itaharibu biashara yao which they make money)Tatizo la bima lipo kwenye unapoclaim madai, Kujiunga huwa hainaga shida
Nope insurance ni kujikinga / kujitayarisha na inevitability i.e. safety net ni kitu muhimu sana...
Kwa Mpokea Huduma
Kwa anayeweka / anayechukua insurance ni kuhakikisha kwamba hatoki barabarani mfano bidhaa yako kwahio insurance ni cost of business isipotokea cha kutokea..., na kujikinga mfano ikitokea la kutokea mfano ajali au kuibiwa bodaboda yako; una uhakika wa kurudi barabarani na boda nyingine....
Kwa Mtoa Huduma
Its a numbers game mtoa huduma anajua kabisa haiwezekani asilimia 50 ya watu wapate shida kwa wakati mmoja hivyo anajua wapata shida wakipata atawalipa kutoka kwa ambao hawajapata shida na bado kubakia na chenji..., ndio maana natural disasters huwa are not covered (hapa siongelei kifo / maisha) bali mali sababu wangecover hizo pesa za kuwalipa wote isingepatikana as wengi kwa wakati mmoja wanapata shida...
Huyo aliyeandika hayo nadhani hajui concept nzima ya insurance; Bima ni numbers game...., nikupe mfano wa Bima ya Afya tuseme una watu wawili tu katika Bima ya Afya mmoja akiugua hio ni 50% percent na huenda ukatoa pesa ya yule ambaye hakuugua ukampa huyu, pia kuna possibility wote wakaugua hivyo ukajikuta wewe kama kampuni unaingia hasara... Lakini tuseme una watu 10,000 nina uhakika ni vigumu sana watu 5000 kuugua kwa wakati mmoja tena huenda wameshapiga hesabu na kuona kwamba ni kama 10% wanaougua kwahio hapo utaona wao wanapata faida na nyie huku mnachangiana kila shida ikitokea.......let's just take a loose view on how company insurances work:
They need to win money, so they wouldn't insure something that is likely to bring loss to the company (losing money). Prices and prizes are valuable on insurance companies to know what kind of insurance they can sell you, usually they look at probabilities, use categories to look what is the risk you are involved and so on, exactly the same analysis a betting company need to know about any event that can happen to offer their client the ‘odds’ on a bet. I see no operational difference between insurance and betting companies.
The difference is only conceptual, its on our heads…
The big deal is that on the average persons mindset ‘insurance’ is something acceptable, and ‘gambling’ is something we take as bad.
Pombe mbaya lakini bia ni nzuri...
Hayo hapo yalioyoandikwa kwa kiingereza, nime copy kutoka quora.com
Ulichoaandika ndio hicho hicho kinachoamaanisha kuwa insurance is a form of gambling.Huyo aliyeandika hayo nadhani hajui concept nzima ya insurance; Bima ni numbers game...., nikupe mfano wa Bima ya Afya tuseme una watu wawili tu katika Bima ya Afya mmoja akiugua hio ni 50% percent na huenda ukatoa pesa ya yule ambaye hakuugua ukampa huyu, pia kuna possibility wote wakaugua hivyo ukajikuta wewe kama kampuni unaingia hasara... Lakini tuseme una watu 10,000 nina uhakika ni vigumu sana watu 5000 kuugua kwa wakati mmoja tena huenda wameshapiga hesabu na kuona kwamba ni kama 10% wanaougua kwahio hapo utaona wao wanapata faida na nyie huku mnachangiana kila shida ikitokea...
Na wewe kama individual haujui kama utaugua au hautaugua au lini utaugua na kama ukiugua je hio pesa utakuwa nayo? Kwahio sababu haujui kama wewe utakuwa kati ya wale 10 percent hivyo ni vyema ukatoa ulichonacho kidogo ili ukiwa kati ya wale wachache uweze kutibiwa kuliko usingetoa, usingepata matibabu (you could not afford it)
Hizo ni Bima za maisha za wenye pesa ambazo wakifa wanapata matrilioni hapa naongelea za kina Pwagu na Pwaguzi za kutoa not more than 10K na ukifa unapata not more than 10m sanasana hio itafekwa na gharama za hapa na pale za matanga na bado ndugu zako kutoboka mifuko ili kukuweka sawa (inatemegea umefia wapi kama unahitaji kusafirishwa au matibabu yako yaliwaweka ndugu zako kwenye madeni)Wanufaika wako wakishajua ukishakufa Kuna mzigo utaingia kupitia wao, maisha yakiwaenda kombo hawakawii kukuondoa Kabla ya siku zako.
Bima ya maisha imevunja ndoa nyingi Sana, mkeo anakufyeka bima wanamlipa anaenda kula bata na kimarioo. Chake wee ukiozea mavumbini
Sharti moja ambalo wengi nadhani wanaingia bila kujua wanaweza wakadhani hizi bima za vikundi ni permanent ila kumbe ni term (yaani unatoa elfu lets say chini ya elfu kumi kwa mwaka) ili wewe ukifa upewe 10m wazazi chini ya 90 1m watoto mke n.k. ila ni kwamba msiba utokee ndani ya mwaka huo husika mwaka unaoufuata ni mkataba mwingine na kama una 75 years mwaka kesho watakukataa au utakuwa ni mkataba tofuati wenye premiums kubwa....Tuwekee mfano wa masharti ya hizo bima. Maana ukishajiunga shida ni baada ya kusomewa masharti ndio unajua uliingia chaka toka day 1 unasaini.
Sasa tukija kwenye technicalities naweza kukwambia kila kitu ni gambling...., ila sasa naweza kusema wewe ambaye hujawekea gari lako BIMA ndio unacheza kamari taking risky action in the hope of a desired result. Yaani unaona labda kutoa laki na ushee kwenye gari lako ni gharama kwa mwaka kwahio kila siku unacheza na odds kwamba traffic asikushike au usipate ajali (now what are the odds) hapo ndio utajua kama ni pata potea au wise decision....Ulichoaandika ndio hicho hicho kinachoamaanisha kuwa insurance is a form of gambling.
Wanufaika wako wakishajua ukishakufa Kuna mzigo utaingia kupitia wao, maisha yakiwaenda kombo hawakawii kukuondoa Kabla ya siku zako.
Bima ya maisha imevunja ndoa nyingi Sana, mkeo anakufyeka bima wanamlipa anaenda kula bata na kimarioo. Chake wee ukiozea mavumbini
Hapa ni bora tuongelee kwa mifano halisi wana ndugu au marafiki tuseme mpo kumi au ishirini mnachukua hizi BIMA za vikundi Nishike Mkono et al..., Nadhani akifa mzazi not more than 90 years mnapewa 1m akifa mtoto/ mke wa mwanachama labda mnapewa 3m akifa mshikaji wenu mnapewa 10M@FRANCIS DA DON
Uiiangalia channel ya ID ya DSTV utagumdua mauaji mengi wa wanafamilia husababishwa na ‘Life insurance’.
Mbona husemi kwamba unaweza kuuwawa na beneficiary?