Akiwa anajibu swali la mbunge katika kikao cha leo, kwa mara nyingine tena Waziri wa Afya amehimiza wananchi kujiunga na bima ya afya na hapo hapo akasema wako njiani kutangaza vifurushi (packages) vipya
ili kumwezesha kila Mtanzania kuchagua kifurishi kinachoendana na uwezo wake. Hii si mara ya kwanza kwa Waziri wa Afya au NHIF wenyewe kutoa kauli ya "Tuko njiani kutangaza vifurushi"
Mwanzoni mwa mwaka huu nhif ilitoa kauli kama hizo. Sasa hivi tuko STeptember na bado "Tuko njiani bla bla blah" . Aibu. Tukumbushane pia ahadi ya kupeleka muswada Bungeni ili kila mwananchi awe na bima ya afya zimetolewa mara nyingi. Sasa tunaambiwa muswada utapelekwa Bungeni November! Yetu macho.