Bima ya afya(NHIF) ahadi nyingi, utekelezaji sifuri

KALABASH

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
493
206
Akiwa anajibu swali la mbunge katika kikao cha leo, kwa mara nyingine tena Waziri wa Afya amehimiza wananchi kujiunga na bima ya afya na hapo hapo akasema wako njiani kutangaza vifurushi (packages) vipya
ili kumwezesha kila Mtanzania kuchagua kifurishi kinachoendana na uwezo wake. Hii si mara ya kwanza kwa Waziri wa Afya au NHIF wenyewe kutoa kauli ya "Tuko njiani kutangaza vifurushi"

Mwanzoni mwa mwaka huu nhif ilitoa kauli kama hizo. Sasa hivi tuko STeptember na bado "Tuko njiani bla bla blah" . Aibu. Tukumbushane pia ahadi ya kupeleka muswada Bungeni ili kila mwananchi awe na bima ya afya zimetolewa mara nyingi. Sasa tunaambiwa muswada utapelekwa Bungeni November! Yetu macho.
 
Hawa Jamaa Wahuni Sana Mwaka Jana Nakumbuka Walisema Wata-Update Package Zao Ziendane Na Mahitaji Ya Wateja Hadi Sasa Naona Kimya
 
hawana tofauti na NSSF ambao nao walisema mwezi nane mwaka huu kuwa wanakamalisha mazungumzo
 
Kuna vipimo vingi sana na madawa mengi ambayo wameyaondoa kwenye bima zao hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa wagonjwa lakini pia vituo/hospital nyongi kupata hasara kubwa.

Kimsingi hizi Bima (NSSF na NHIF) kwa kiwango kikubwa haziwasaidii wananchi kama ambavyo tunaaminishwa na wanasiasa
 
Maagizo hayo toka juu
Tunatafuta hela by any means necessary
 
Ndo matatizo ya mambo ya afya ukiingizia siasa zamani nhif ilikua nkombozi wa watu ila sahv daah
 
Bado sioni sababu ya kumuwekea mtu masharti ya kutumia bima.. Yan ni sawa umchagulie mtu magonjwa ya kuumwa
Kuna vipimo vingi sana na madawa mengi ambayo wameyaondoa kwenye bima zao hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa wagonjwa lakini pia vituo/hospital nyongi kupata hasara kubwa.

Kimsingi hizi Bima (NSSF na NHIF) kwa kiwango kikubwa haziwasaidii wananchi kama ambavyo tunaaminishwa na wanasiasa
 
MTU kama nachangia NSSF sioni haja ya kujiunga tena na NHIF .MTU huyo aruhusiwe kupewa card ya NHIF then hela ambazo atakuwa ametumia katika matibabu zikatwe kwenye kiinua mgongo wakati anastafu.
 
Kuna jedwali la vifurushi vipya vya NHIF nimeona linazunguka kwenye mitandao. Sijui ndo tayari wametoa ngoja nijaribu ku upload
 
Akiwa anajibu swali la mbunge katika kikao cha leo, kwa mara nyingine tena Waziri wa Afya amehimiza wananchi kujiunga na bima ya afya na hapo hapo akasema wako njiani kutangaza vifurushi (packages) vipya
ili kumwezesha kila Mtanzania kuchagua kifurishi kinachoendana na uwezo wake. Hii si mara ya kwanza kwa Waziri wa Afya au NHIF wenyewe kutoa kauli ya "Tuko njiani kutangaza vifurushi"

Mwanzoni mwa mwaka huu nhif ilitoa kauli kama hizo. Sasa hivi tuko STeptember na bado "Tuko njiani bla bla blah" . Aibu. Tukumbushane pia ahadi ya kupeleka muswada Bungeni ili kila mwananchi awe na bima ya afya zimetolewa mara nyingi. Sasa tunaambiwa muswada utapelekwa Bungeni November! Yetu macho.
Size of the FamilyPrincipal Aged 18- 35Principal Aged 18- 35Principal Aged 18- 35
Najali Afya PremiumWekeza Afya PremiumTimiza Afya Premium
Individual Person192,000384,000516,000
Couple384,000732,000996,000
Couple + 1 Child504,000924,0001,272,000
Couple + 2 Children612,0001,116,0001,536,000
Couple + 3 Children720,0001,284,0001,788,000
Couple + 4 Children816,0001,452,0002,028,000
Individual + 1 Child312,000576,000792,000
Individual + 2 Children432,000756,0001,056,000
Individual + 3 Children540,000924,0001,308,000
Individual + 4 Children636,0001,092,0001,548,000
 
Akiwa anajibu swali la mbunge katika kikao cha leo, kwa mara nyingine tena Waziri wa Afya amehimiza wananchi kujiunga na bima ya afya na hapo hapo akasema wako njiani kutangaza vifurushi (packages) vipya
ili kumwezesha kila Mtanzania kuchagua kifurishi kinachoendana na uwezo wake. Hii si mara ya kwanza kwa Waziri wa Afya au NHIF wenyewe kutoa kauli ya "Tuko njiani kutangaza vifurushi"

Mwanzoni mwa mwaka huu nhif ilitoa kauli kama hizo. Sasa hivi tuko STeptember na bado "Tuko njiani bla bla blah" . Aibu. Tukumbushane pia ahadi ya kupeleka muswada Bungeni ili kila mwananchi awe na bima ya afya zimetolewa mara nyingi. Sasa tunaambiwa muswada utapelekwa Bungeni November! Yetu macho.

Size of the FamilyPrincipal Aged 36 - 59Principal Aged 36 - 59Principal Aged 36 - 59
Najali Afya PremiumWekeza Afya PremiumTimiza Afya Premium
Individual Person240,000444,000612,000
Couple456,000864,0001,188,000
Couple + 1 Child576,0001,068,0001,464,000
Couple + 2 Children696,0001,248,0001,728,000
Couple + 3 Children804,0001,416,0001,980,000
Couple + 4 Children900,0001,584,0002,220,000
Individual + 1 Child360,000648,000888,000
Individual + 2 Children468,000828,0001,152,000
Individual + 3 Children576,000996,0001,404,000
Individual + 4 Children672,0001,164,0001,644,000
 
Akiwa anajibu swali la mbunge katika kikao cha leo, kwa mara nyingine tena Waziri wa Afya amehimiza wananchi kujiunga na bima ya afya na hapo hapo akasema wako njiani kutangaza vifurushi (packages) vipya
ili kumwezesha kila Mtanzania kuchagua kifurishi kinachoendana na uwezo wake. Hii si mara ya kwanza kwa Waziri wa Afya au NHIF wenyewe kutoa kauli ya "Tuko njiani kutangaza vifurushi"

Mwanzoni mwa mwaka huu nhif ilitoa kauli kama hizo. Sasa hivi tuko STeptember na bado "Tuko njiani bla bla blah" . Aibu. Tukumbushane pia ahadi ya kupeleka muswada Bungeni ili kila mwananchi awe na bima ya afya zimetolewa mara nyingi. Sasa tunaambiwa muswada utapelekwa Bungeni November! Yetu macho.
Size of the FamilyPrincipal Aged 60+Principal Aged 60+Principal Aged 60+
Najali Afya PremiumWekeza Afya PremiumTimiza Afya Premium
Individual Person360,000660,000984,000
Couple684,0001,284,0001,908,000
 
Kwanza wangeondoa sharti la kuwa 1.5m ni kwa family members tu, hapo wangekua wamesaidia kweli wananchi wote.
Watu wajikusanye 6 isiwe lazima wawe baba, mama, na watoto la hasha waseme kikundi cha watu 6 kichange 1.5m kila mtu apate bima yake
Hao nao wezi tu.. Et package 1.5m
 
hizi taasisi no maalum kwa watumishi.

kwa sekta binafsi ndio hizo longolongo za September Mara August au huko mwakani..
 
Back
Top Bottom