Bima ya afya mpaka kwa babu Loliondo!

Bima ya afya mpaka kwa babu Loliondo!

mfukunyunzi

Senior Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
142
Reaction score
26
Jamani hii sasa kali maana kuna waalimu walienda kwa babu kule loliondo. Baada ya kupata kikombe babu akawaambia, "haya 500 yangu ?" Wakatoa bima ya afya, babu kachoka kabisa!
 
Back
Top Bottom