Bima afya UDOM

Bima afya UDOM

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
951
Reaction score
412
Wadau... Udom wametoaa moongozoo kuhusu bimaa za afyaa. Je kwa watu ambao hatujapata bima inakuwaje tulipe hela tena mwaka huuu?!


Msaada wadau maana ni hela nyingii...
 
Direct cost itapunguza ile laki ya mchango wa afya au ndo janga? je wenye bima tofauti na NHIF nao watanalazimika kujiunga thats is contradiction,wale wa msumbiji nk nao vp?
 
Kama una bima unalipa elfu 46. Ila kama hauna itakubid ulipe yote laki 1 elfu 54kwenye nhif na hyo 46 chuo.kitatoa utaratibu wa kulipia kwa ajil ya huduma za dispensary ya chuo
 
Ebu kaeni uko mjipange mje na habari ya kueleweka sio kuja kuweka ukakasi hapa mnatuchanganya tu.
 
wajipange kvp sasa mbona unakurupuka blo kaa kwanza utulie. hili nijukwaa ambalo watu wanasaidiana kupeana taarfa we unainteract nn sasa ? aya fasta kalale maana unaakili za ndotoni
 
jaman hata hawa wa special dipl wapya nao wanatuma au n wanachuo na kama nacc 2natuma kwa nn
 
Udom mtaendelea kuibiwa hadi lini?Ina maana nyie hamna serikali ya wanafunzi..

Sasa mtu una bima ya wazazi hiyo pesa unalipa ya nini.Na nimesikia kuna wengine wamelipa lakini bima hawakupata

NHIF wanataka only 50,400 sasa hiyo laki nzima ni ya kazi gani.Mbona vyuo vingi tu wanalipa elfu hamsini na mia nne.Na ikitokea kwa uzembe wao usipate kadi,mwaka unaofuata hautolipa hiyo pesa

Kweli Dodoma ni pango la walanguzi
 
Kama una bima unalipa elfu 46. Ila kama hauna itakubid ulipe yote laki 1 elfu 54kwenye nhif na hyo 46 chuo.kitatoa utaratibu wa kulipia kwa ajil ya huduma za dispensary ya chuo

UDSM is the best.Ukiwa na Bima yako hulipi hata mia
 
Oyaaa washkajiii msilipeee mpaka tupewe bima za mwaka huu.... Haiwezekanii tulipiee nawakati bima za 2014/2015 hatujapewa
 
hivi hiyo elfu 46 wanaitaka ya nn??

Kama unafuta mafisadi papa nchi hii nenda UDOM. Hiyo 46 elf kwa madai yao ati ni kwa ajili ya mafuta ya ambulance wakati mtu akiugua ghafla ambulance yenyewe haitokei kwa wakati na mara nyingi kutokutokea kabisa inapotokea mtu kazidiwa usiku lakini wakipigiwa kwenda kubeba wagonjwa wengine ntyuka na maeneo mengine wanakimbia kama upepo hata kama ni saa nane usiku.
Pia huduma za afya pale kwenye dispensary yao ni hovyo kabisa madoctor wamekalia kushikashika ma**lio ya watoto wakike wanaoenda kutibiwa, dawa hamna kila ukienda kutibuwa.
 
nina mdogo wangu kapata special diploma pale udom vp kuhusu hii nhif form regstration number nitajaza nini??
 
Wakubwa kiukwel sijaelew utaratibu ukoje kwa cc udom mwaka wa kwanza special programme bima nhif utapataje?
 
wametoa muongozo wa ujazaji fomu ya bima ya afya je,vp kwa wale waliochaguliwa special diploma mwaka huu nawao wanapaswa kujaza fomu hizo?
 
habari zenu wakubwa,naomba kwa yule anayejua tarehe ya kuripoti UDOM kwa wale waliochaguliwa special diploma mwaka huu anijuze pamoja na vitu vya kwenda navyo.
 
habari zenu wakubwa,naomba kwa yule anayejua tarehe ya kuripoti UDOM kwa wale waliochaguliwa special diploma mwaka huu anijuze pamoja na vitu vya kwenda navyo.

Nenda na kadi ya kupigia kula kama hauna bora usiende kaa tu nyumbani ndugu tarehe ni ile ile tu 25.10.2015
 
Back
Top Bottom