EDSON FAUSTINE
Member
- Aug 13, 2015
- 6
- 1
kama kawa wadau hivi tarehe ya kufungua chuo cha udom kwa wale waliofunga n lini?
Kama unafuta mafisadi papa nchi hii nenda UDOM. Hiyo 46 elf kwa madai yao ati ni kwa ajili ya mafuta ya ambulance wakati mtu akiugua ghafla ambulance yenyewe haitokei kwa wakati na mara nyingi kutokutokea kabisa inapotokea mtu kazidiwa usiku lakini wakipigiwa kwenda kubeba wagonjwa wengine ntyuka na maeneo mengine wanakimbia kama upepo hata kama ni saa nane usiku.
Pia huduma za afya pale kwenye dispensary yao ni hovyo kabisa madoctor wamekalia kushikashika ma**lio ya watoto wakike wanaoenda kutibiwa, dawa hamna kila ukienda kutibuwa.
nina mdogo wangu kapata special diploma pale udom vp kuhusu hii nhif form regstration number nitajaza nini??
wametoa muongozo wa ujazaji fomu ya bima ya afya je,vp kwa wale waliochaguliwa special diploma mwaka huu nawao wanapaswa kujaza fomu hizo?
Nenda na kadi ya kupigia kula kama hauna bora usiende kaa tu nyumbani ndugu tarehe ni ile ile tu 25.10.2015
Kama una bima unalipa elfu 46. Ila kama hauna itakubid ulipe yote laki 1 elfu 54kwenye nhif na hyo 46 chuo.kitatoa utaratibu wa kulipia kwa ajil ya huduma za dispensary ya chuo
vipi kuhusu kulipa ada 30 october mbona direct cost imesimama vilevile na hakuna maelezo ya ziada au ndo trick!