Billionaires wa tanzania

Billionaires wa tanzania

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
34,434
Reaction score
59,289
Ndugu wana jf, nataka kujua hivi ni mji /mkoa gani wana billionaires wengi naomba mmnijuze. Just curious
 
Kama sijakosea ni MKOA MPYA wa SIMIYU. Ngoja tusubiri maoni ya wengine.
 
Arusha maana kila anayejihusisha na biashara ya madini ya tanzanite anaitwa Billionaire🙂
 
Njoo hapa tanga mitaa ya nguvumali yupo hapa anaitwa SAS
 
Arusha inaongoza kuwa na mabilionea wengi sababu.
Ata ukiingia baa ukawapa watu ofa za bia utaitwa bilionea ata wauza CD wanaitwa bilionea
 
Mi nadhani mkoa Mwanzaa kuna li mtu linaitwaa li Ngerejaa ni li bilioneaa balaaa maana liiba lilipokua kwenye nishati na madini
 
Safi sana. Then unawajua mabillionea halafu unalala njaa! Haa haa haa haaa....
 
Kwa mfano miji yenye billionaires wengi duniani ni New York , Moscow, Tokyo respectively.
Kwa hapa mmnasema ni Arusha, mwanza lkn dar pia kuna matajiri wenye pesa pia
 
Back
Top Bottom